Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Mara nyingi sana hapa jukwaani ben amekuwa akimsakama zitto kwa tuhuma za kuhujumu chama lakini zitto kwa busara zake hataki kabisa kulumbana na ben.. Hii ndio sifa ya kiongozi na tofauti kubwa iliyopo kati ya zitto na ben
 
Mkuu Zitto asante kwa tamko.
Ila naomba ka uko serious kweli, uitishe press, huku umelishika hilo gazeti, ukemee na utishie kulipeleka mahakamani, lisipo kuomba radhi, ili usafishe chama chetu.
Kwani huko vijijini hawatumii twira.
 
Last edited by a moderator:
Kila mara Mh. Zitto anapotoa Press Release, badala ya kujibu tu swala lililoko mezani, anakuja na mjadala mwingine.

Kwangu mimi, nimedonoa hii sentensi ambayo ni fupi lakini ina ujumbe mzito sana.

Ningependa kufahamu huyu MMOJA anayemwongelea katika matendo yake ambayo jamii isiyaone ndiyo matendo ya chama.

...Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
 
Mkuu Zitto asante kwa tamko.
Ila naomba ka uko serious kweli, uitishe press, huku umelishika hilo gazeti, ukemee na utishie kulipeleka mahakamani, lisipo kuomba radhi, ili usafishe chama chetu.
Kwani huko vijijini hawatumii twira.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nikupongeze sana Kwa kumaliza mafunzo JKT salama salimini na pia kuendelea kupambana na wanafiki na zaidi kujitokeza kwa haraka kuondoa ushetani huu ambao wanaoueneza siku zote wanapoteza malengo yao kisiasa na kimaadili.Tunaendelea na ujenzi wa chama na tunakukaribisha huku Kyerwa ili tukukabizi machache uyafinyie kazi ili nchi yetu izidi kutoka KWENYE UJINGA.MTANI- PIGA KAZI MAANA HATA WALIOTAKA KUKUANGAMIZA KWENYE UCHAGUZI WA M/KITI WA KAMATI YA BUNGE JUZI TU WAMEAIBIKA
 
Pole na hongera kwa kambi mkuu!

Asante kwa ufafanuzi, tusubiri labda waje kivingine sasa! Hili limeisha naona!
Asante sana katibu.
 
Mimi niwaambia Ben sio level ya Zitto pamoja na kwamba anapata support ya 1st lady kivuli, sasa ajitokeze Josephine arudie yale maneno aliyo kuwa akiropoka humu JF
 
Matendo ya mtu mmoja yasigeuzwe propaganda ya taasisi.
Ben saanane na slaa huwa mnafanya unyama kwa manufaa ya nani???
Chadema?
Josephine?
Urais?
 
I hope dat you will be my President coz , ur a real Patriot , do'nt give KAMANDA.
 
kamanda zitto bravo! Hapo kweli unaonyesha umeiva kuwa kiongozi maana kauli kama hizi za kuhimiza umoja ndani ya chama sijawahi kuzisikia muda mrefu.
Naamini ndoto yako ya kuwa mkuu wa nchi hii ipo siku itatimia tu. Hata kama sio 2015 basi panapo majaliwa 2020
 
JOSEPHINE NA BEN SAANANE NJOOONI HAP MARA MOJA!
HUWA MNAPANGA MIKAKATI YA SUMU KWA MANUFAAA YA NANI?
KILA NAFSI ITAONJA MAUTI,URAIS WA DR.SLAA NDIO UNAWINDA ROHO ZA WATU?

ben saanane umewahi onana na Zitto kabwe??
Kijana mnafiki sana ww.
 
Na kwa emotions nyingi sana...big up Mr Zitto must be singing this

Motherland cradle me​
Close my eyes​
Lullaby me to sleep​
Keep me safe​
Lie with me​
Stay beside me​
Don't go, don't you go​

2+(2).JPG

Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro kwa madege yote yaliyo makubwa...
 
Kamanda umenena vema sana. Niliposikia uchambzi wa magazet asubuhi nilistuka sana, nkasema sasa mambo haya yakoje? Lakini ufafanuzi wako upo makini sana. Tunawataka hawa waandishi uchwara waandike mambo muhimu ambayo wananchi wanayapigia kelele kila siku mfano: matatizo ya kukosa dawa hospitalini, ukosefu wa maji, njaa kali katika baadhi ya sehemu hapa tz na mengineyo.
 
Mara nyingi sana hapa jukwaani ben amekuwa akimsakama zitto kwa tuhuma za kuhujumu chama lakini zitto kwa busara zake hataki kabisa kulumbana na ben.. Hii ndio sifa ya kiongozi na tofauti kubwa iliyopo kati ya zitto na ben

Mkuu,
Samahani, lakini kumfananisha Zitto na Ben ni kumshushia heshima Zitto. Ben maishani mwake anaota kuwa siku moja akutane na Zitto ili ajisikie na yeye yumo! Hawa ni watu wa caliber tofauti kabisa ni sawa na kulinganisha capillary na aorta.
 
Mara nyingi sana hapa jukwaani ben amekuwa akimsakama zitto kwa tuhuma za kuhujumu chama lakini zitto kwa busara zake hataki kabisa kulumbana na ben.. Hii ndio sifa ya kiongozi na tofauti kubwa iliyopo kati ya zitto na ben

Ben saanane njaa tu inamsumbua.Dr.slaa anamlipa sh.ngapi kama sio hela ya bia mbili.
Zitto ni Kiongozi,zito ni mwanasiasa
 
sasa Nchemba, TISS pamoja na OBR naomba mkamtafute mwandishi wa ile habari ya uzushi mmg'oe meno na kucha , kisha mmfundishe kazi yake na jinsi ya kufanya utafiti wa kina.

haiingi akili unamuhoji Shonza na Mtela alafu inaacha kumhoji Ben Saanane na Zitto , wahusika wakuu kuhusu tukio la muhimu kama hilo.
 
Back
Top Bottom