Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Kweli Zitto Zuberi Kabwe umepass out JKT. Very good.
zitto said:Nne, Nawashauri viongozi wenzangu wa CHADEMA na hasa wanachama tutumie muda wetu kujenga mshikamano ndani ya chama. Fitna, majungu, uongo, uzandiki nk kamwe havijengi chama. Chama chetu lazima kiwe mfano bora wa kuheshimu demokrasia na haki za binaadamu. Wananchi hawawezi kutoa dola kwa chama chenye mifarakano. Tusiruhusu kugawanywa kwa matakwa ya watu wachache. Tusimamie misingi ya kuanzishwa chama chetu.
Kwanza ni very unprofessional kwa mtu kuhama kampuni/taasisi/shirika moja kwenda nyingine na kuanza kurusha vijembe ulikotoka au kutoa siri za kampuni ulikotoka, nii tanzania tu ambako bado tumelala sijui kama tuna sheria za waajiri/taasisi/mashikrika ili kulinda confidential informations zao. Only people who lack ethical conducts can do that. Ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa watu wote wenye kufanya mambo ya ajabu ajabu hawajaiva katika taaluma zao na kuamua kufakamia taaluma zingine.Tatu, nawashauri watu ambao wamehama CHADEMA na kuhamia vyama vingine watumie muda wao kujenga vyama vyao badala ya kila siku kuzungumzia masuala ya chama ambacho wao sio wanachama tena.
Kweli ZZK umepass out JKT. Very good.