KYAMTUNDU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,820
- 295
Kumbe matendo ya Ben Saanane sio mtendo ya CHADEMA, hapo sawa
Understanding the topic is AN OPTION friend.Pole sana ndg yangu...
Kumbe matendo ya Ben Saanane sio mtendo ya CHADEMA, hapo sawa
Zitto anapendwa sana na watu, akiwa mgombea wa kiti cha urais kwa kupitia CHADEMA, CCM tutakuwa na wakati mgumu sana.
Ebo! wamemmisquote nini?Aliongeza kuwa mara zote alizokutana na Zitto, hawajawahi kufika katika Hoteli ya Lunch Time wakiwa pamoja kama ilivyoelezwa katika gazeti hilo.
Hayo ndo majibu ya Mhe Zitto na Saanane kwa hiyo tafadhalini chambueni matatizo yenu badala ya kupoteza lengo la kumpata aliempiga Kibanda
shukrani mkuu Lwesye kwa kutuwekea post ya Mwampamba...ila nimeshituka kauli za mwampamba kuwa umaarufu wa Zitto wameushikilia wao..hawa vijana kweli wamejeruhiwa,naona wanahisi kusalitiwa na mtu waliemwamini....tutasikia mengi.!!!Kaka Mtenda mabaya hutendwa the Zitto era has gone for ever ,hili linabebwa na mitandao yote watu tumeprint kama copy 200 kuzisambaza wamjue head wa masalia ,no more the great Zitto, kila kitu peupe Mtela Mwampamba kamvua nguo na kumuweka barabarani ameconfirm yale tulikuwa tunasema pole Zitto ulidhani kuwachanja chale za matakoni wangenyamaza kwisha dhambi za zitto ni nyingi Arusha kawafanya watu wanapigwa nyanya mpaka leo kwa kuwasaliti udiwani wakati yeye alikuwa anawakazania wasikubali ushauri
Nimezisikia hizi habari zikishabikiwa na kiredio fulani kama sikosei ni clouds fm wameishabikia hii mada utadhani siyo professionals, as if ni wamama fulani wamekaa kibarazani wanajadiri umbea. Clouds FM inajipotezea sana status yake kushupalia uzushi tena kwa upendeleo, uzushi unaokichafua CCM wanakuwa kimya ila uzushi wa kuichafua CHADEMA utamsikia Geladi Hando, Kibonde na watu wa level hiyo jinsi wanavyo ishupalia kimbea,
Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na aibu ya kutumika na wanasiasa.
Kwa anayenifahamu na kuifahamu Chadema na Viongozi wake atakubaliana na ukweli kuwa MIMI, MTELA MWAMPAMBA nilikuwa karibu zaidi na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe.
Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama: mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu Chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala.
Ni kwa msukumo huo ninajikuta ninao wajibu wa kuwabainishia UMMA juu ya mambo hayo manne ambayo ZITTO ameyasema.(Kwa maana sitaeleza lini na wapi nimekutana na ZITTO.,sitaeleza tunafahamiana kiasi gani na tuliwahi kupanga lipi na wapi, sitasema tulifanikiwa mangapi na kushindwa mangapi, sitaeleza "sura halisi" ya ZITTO ninayoifahamu mimi kuliko mtu yeyote mwingine katika Chadema (ILA NASISITIZA KUWA NITAFANYA HIVYO TU PALE ITAKAPOBIDI)
Kwa maana yote yanayoendelea Chadema yanatokana na Mvutano na Kadhia ya CHUKI na VISASI baina ya Makatibu wawili wa Chama hiko, hata kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwa sababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uaminifu tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI, ipo siku tutayasema.
. Ni wazi kuwa tumehojiwa katika vikao kadhaa ndani ya Chadema na kote hakuna ambako tulitaja jina lako wala kukuhusisha na chochote kuhusu sisi. Usijiachie sana katika mazungumzo yako, wakati mwingine neno huweza kuzaa yale usiyoyatarajia.
Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don't mess with your last poker chip, u will lose the game.
Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema., I know you're smart brother, don't get crossed., straighten your words..!
Kuwa makini, AND THIS IS SERIOUS…!
ZITTO na viongozi wengine wanajua nini kimesemwa kuhusiana na Sakata letu ndani ya Kamati Kuu iliyopita na Jinsi hoja hiyo ilivyosababisha Kikao hiko kutahamaki pindi mwenyekiti alipoizima, lakini anafahamu kuwa Kikao Cha Kamati Kuu ijayo kitamjadili yeye (ZITTO) na SHIBUDA na BEN ni miongoni mwa watu watakao toa Ushuhuda wa aliyoyatenda ZITTO katika CHADEMA na juu ya anayoyasema yeye BEN katika mitandao ya Kijamii
Ila mwanangu anapenda sana kuwasikiliza jinsi wanavyochekacheka kama wanawake wa uswazi si unajua mambo ya watoto!!!!!!!!hakuna watu professional pale Clouds Fm woooooote ni vimeo tu fuatilia utaamini nini ninachosema...hakuna mtangazaji hata mmoja wa clouds Fm anaweza kuwa kama wale wa BBC, CNN, VOA...wote wamejaa majungu, uzandiki na zaidi wanatumiwa kisiasa kueneza hayo...chukulia tu mfano KIBONDE....hivi huyu anaqualify kuwa mtangazaji ama mwimbaji mipasho?

hakuna watu professional pale Clouds Fm woooooote nini ninachosema...hakuna mtangazaji hata mmoja wa clouds Fm anaweza kuwa kama wale wa BBC, CNN, VOA...wote wamejaa majungu, uzandiki na zaidi wanatumiwa kisiasa kueneza hayo...chukulia tu mfano KIBONDE....hivi huyu anaqualify kuwa mtangazaji ama mwimbaji mipasho?

Mmeona mafunzo ya JKT yalivyo na manufaa?

Kijana fresh from JKT huyo...

Hili sinema ni "Easter 2013 Version"
Nilijuaga JF wote ni ma Great Thinker kumbe tuna vilaza kibao sijui tutawasaidiaje ili tuwe tunajadili mambo kwa uhuru. hapa hatuko kuchambua ID tuko kuchambua maada acha ubongolala kama huna point jaribu nyingine mnachosha sana, haya kuanzia sasa nitalikana jina langu kisa ukiliona unaweweseka KILAZA - MBURULA wewe

wengine kumbe haturuhusiwi kuchangia?mbona commet yangu naambiwa topic imefungwa na wengine wanachangia?

wengine kumbe haturuhusiwi kuchangia?mbona commet yangu naambiwa topic imefungwa na wengine wanachangia?