Leo Alhamisi 28 March 2013, nafungua gazeti la Tanzania Daima nakutana na habari kuu isemayo CHADEMA SI PANGO LA WAUAJI. Naingia ndani zaidi na kukutana na habari za press conference ya Zitto na waandishi wa habari akikanusha uvumi wa kuwa Ben Saanane aliwahi kutumwa na Dr Slaa kumuua kwa sumu.
Katika habari hii anaonekana mia kwa mia kumsafisha Dr Slaa kuwa haamini anaweza kupanga njama za kumuua kwa kuwa hakuna sababu zozote za kufanya hivyo. Ninapo pata shida kuelewa ni pale Zitto ambaye ni naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Bara) kukili kutomfahamu Ben Saanane kijana mwenzie Mjumbe wa BAVICHA wakati huo huo akisema hajawahi kukutana naye.
Nilipoendelea kusoma habari hii, nakutana na maelezo ya Ben Saanane akieleza kuwa alikwisha kutana mara kadhaa na Zitto, japo kuwa maelezo yao wote yalifanana kwa kutowahi kukutana hotel ya Luch Time kikao kinachodaiwa ilipangwa Zitto akiingia kwenye target azimishwe kwa sumu.
Katika aya ya sita(6) ya gazeti hilo Zitto anasema, "...sijawahi katika maisha yangu yote kukutana na mtu anayeitwa Ben Saanane..." Naye Ben Saanane katika aya ya kumi na nane (18) mwandishi anaandika hivi Aliongeza kuwa mara zote alizokutana na Zitto hajawahi kufika hotel ya Luch time.. Anasema Ben Saanane.
Wana JF, Zitto anasema hajawahi kukutana na Ben Saanane maisha yake yote Ben Saanane anasema. Mara zote alipokutana na ZITTO.... Hii contradiction ya Zitto sijawahi kukutana na Ben naye Ben mara kadhaa nilipokutana na Zitto imekaaje? Naombeni mawazo yenu.
Hawa hawako pekee yao. Ni GENGE la WAHUNI linaloongozwa na MWIGULU, NAPE na KIGWA. Huenda wako mbioni kuuwa viongozi wa CHADEMA ili asingiziwe Slaa
....................Gazeti la Mtanzania ni wazushi na wazandiki na huu ni mwanzo .....chunga sana
Mtela MwampambaMtela Mwampamba
NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE - KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Tatu)
- Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala.
Kwanza, nimeipitia kwa Umakini Mkubwa Taarifa hiyo ya ZITTO na kushuhudia UNAFIKI MKUBWA, UPOTOSHAJI NA UONGO ULIOKITHIRI KATIKA BAADHI YA VIPENGELE NA KUJIKOMBA KUSIKO NA HATA CHEMBE YA AIBU WALA SONI
- ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.
- Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don't mess with your last poker chip, u will lose the game.
Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema., Kuwa makini, THIS IS SERIOUS…!
- nataka upinzani makini unaosimamiwa na watu walio makini na kwa mtazamo wangu (ambao ninao tangu awali na haujabadilika) Wewe ZITTO unao uwezo, maadili na nidhamu ya kuweza kusimamia Upinzani huo. (nayasema haya kwa kuwa nawajua viongozi wenu)

Ben Saanane Kwa mara ya kwanza huna maneno ya kusema au yote unamwaga kwa kutumia ile id nyingine?
Huyu Ben Saanane ni Mzigo kwa chadema. Hana heshima wala adabu kwa kiongozi wa chama chake. Na kauli chafu zisizovumilika.
Kwa nini chadema hamumchukulii hatua za kinidhamu? Mbona mnamuendekeze?

Huyu Ben Saanane ni Mzigo kwa chadema. Hana heshima wala adabu kwa kiongozi wa chama chake. Na kauli chafu zisizovumilika.

Kwa nini chadema hamumchukulii hatua za kinidhamu? Mbona mnamuendekeze?
si ndo maana wanaitwa wanaume wapaka ina..bado tu kujifunga kanga kiunonikuna siku nataka nifunge safari niende clouds nione watangazaji wanafananaje kimaumbile, haiwezekani mwanaume kamili ukawa unafanya mambo ya kike vile alafu nyumbani umeacha watoto wanakusikiliza
Mtu makini siyo kila thread kukurupoka kama nyie vilaza na pumba zenu, sasa umecomment nini zaidi ya majugu, eti ID nyingine!! kumbe huwa mnazo kibao eh! maCCM bana....Ben Saanane Kwa mara ya kwanza huna maneno ya kusema au yote unamwaga kwa kutumia ile id nyingine?