Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

inaonekana akina chonza, bensaanane na yule jama wa mbozi wanahusika na uzushi ule.Shame on them
 
Zitto anapendwa sana na watu, akiwa mgombea wa kiti cha urais kwa kupitia CHADEMA, CCM tutakuwa na wakati mgumu sana.
 
Zitto baada ya kuweka ukweli wote hapa jamvini, naomba uwasiliane na Gazeti la Mtanzania ili kesho au kesho kutwa wachapishe mbele kabisa ya gazeti lao kama leo kwamba huo ni UONGO maana CCM walianza kufanya sherehe kwa kusema tayari wametumaliza. Sisi Vijana huku mtaani TUPO PAMOJA NA CHADEMA, hata iweje tunajua huo ni uzushi wa CCM na sasa CCM hawaponi kabisaaaaaaa bora hiyo nguvu ya propaganda za kipuuuzi wangeelekeza katika kuokoa uchumi wa nchi. BIG UP ZITTO
 
Nilipoiona habari ile katika gazeti, kwanza nilicheka, kisha nikapandwa na hasira, nakisha zaidi nikazama katika tafakuri pana,

Nilifanya hivyo kwa dhana ileile ya hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu,


Nilisubiri kauli ya ndugu yangu Zitto kwakuwa niliamini fika kuwa ni lazima ajibu, tena mapema na jibu lake ndio hili.

Kwanza kabisa dhana yakujibu namsifu kwa asilimia mia, Pili mizani ya majibu yake inahitaji tafakuri pana na ya nera zaidi.
Aise wewe ni bonge la mnafiki, wewe ndio kiongozi wa kumpondea Zitto humu JF ukisaidiana na Ben halafu sasa unajifanya kuwa uko nae.au umesahau alivyo kutoa nishai? Kweli vijana wa bongo wanaendekeza njaa.
 
Nimelipenda hili jibu la Ben Saanane.
"Kwanza siku ambayo wanasema tulikuwa wote mimi sikuwa huko, nashangaa na haiingii akilini kwamba mimi niende hadi Temeke (kwa Mwampamba) tena usiku wa manane kwa ajili ya kufuata sumu ya kuulia panya.
"Sasa kwa tuhuma hizo, kwanini wasiripoti polisi, inaingiaje akilini mtu kupanga njama kubwa kiasi hicho halafu ukae kimya tu," alisema Saanane.
 
Dah! Afadhali, kuna watu humu wakisikia umbea tu, wanaana kushadadia hata wasiyoyajua. Tunashukuru mheshimiwa Zitto kwa kuja kutuondolea utata uliokuwepo. Angekuja na mheshimiwa Dr. Slaa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanatakiwa waburuzwe mahakamani nao si wengine bali ni Mwgulu, Shonza, Mwampamba, gazeti la Mtanzania na clouds fm pamoja na serkali ya CCM kwa kutotimiza wajibu wake.
 
Kuna jambo lilishawahi ongelewa hapa kuwa masalia wana ID's za kutosha pia ukatolewa ushahidi takribani 10 ID's za Zitto kule twitter .Huwa akipost jambo anachangia mwenyewe kwa I'D tofauti .Nachokiona kwenye thread hii napata mashaka kwamba hapa kuna uwezekano jambo hilo linatendeka .Time will tell ....

Sisiti kumpongeza kwa yeye kujitokeza kujibu zile tuhuma ila alichoandika ni kigumu kumezeka kwa wachambuzi wa mambo .Huyu sio Zitto wa 2007 ,no way !

MTAZAMO
 
Mara nyingi sana hapa jukwaani ben amekuwa akimsakama zitto kwa tuhuma za kuhujumu chama lakini zitto kwa busara zake hataki kabisa kulumbana na ben.. Hii ndio sifa ya kiongozi na tofauti kubwa iliyopo kati ya zitto na ben

Tafuteni kazi nyingine kichaka kishapigwa kiberiti.......
 
Mmeona mafunzo ya JKT yalivyo na manufaa?

Kijana fresh from JKT huyo...

Siyo kweli ndugu Zitto ni mkakamavu,mzalendo na mtetezi wa rasilimali za Taifa letu tangu akiwa chuoni. Ni bahati ya pekee kwa Tanzania kuwa viongozi kama Zitto,Mbowe,Dr. Slaa,Filikonjombe, etc.
 
Last edited by a moderator:
Nimelipenda hili jibu la Ben Saanane.
"Kwanza siku ambayo wanasema tulikuwa wote mimi sikuwa huko, nashangaa na haiingii akilini kwamba mimi niende hadi Temeke (kwa Mwampamba) tena usiku wa manane kwa ajili ya kufuata sumu ya kuulia panya.
“Sasa kwa tuhuma hizo, kwanini wasiripoti polisi, inaingiaje akilini mtu kupanga njama kubwa kiasi hicho halafu ukae kimya tu,” alisema Saanane.
kumbe ilikua sumu ya panya..
 
Umenena vema sana kaka.Kweli wewe ni kiongozi bora na unafaa kuwa mfano wa vijana wengine wanasiasa
 
Porojo ati Dr Slaa alitaka kumuua Zito ni upuuzi mtupu. Sijawahi kuona uandishi wa kipumbavu kama unaoendeshwa na Gazeti la Mtanzania Jumatano chini ya u-hariri wa Mulinda. Ujinga huu ukomeshwe
 
Matendo ya mtu mmoja yasigeuzwe propaganda ya taasisi.
Ben saanane na slaa huwa mnafanya unyama kwa manufaa ya nani???
Chadema?
Josephine?
Urais?

Taswira huku kitaaa vijana wa uswazi wanasema Mchele Kilo Moja Nazi 8 pata picha.....:nono:
 
Asante sana ZZK kwa majibu hayo yenye hekima! Nyinyi wanafiki na wazandiki nendeni huko huko CCM mkapeleke upumbavu wenu!.....Chadema ndio mkombozi wa Mtanzania.
 
Katika siku Zitto alizonifurahisha kwa kweli ni leo ili limekuwa somo kubwa sana kwa Shonza na Mwampamba sasa ni uamuzi wenu kuchukua ushauri wa mkubwa wenu au muuache muendelee na siasa za uchizi.....Hongera sana Zotto Hongera sana Chadema tuendelee kuyasimamia na kuyafwata yaliyosemwa hapo na ndugu ZZK,pole sana gazeti Mtanzania
 
Back
Top Bottom