Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Mama Josephine,

Kama wewe ndiye mke wa Dr. Slaa, nakushauri usiwe una-comment humu, especially kwa masuala yanayomhusu mzee au CDM. Ndiyo, ni haki yako lakini at times nafikiri unafanya kazi ya Daktari inakuwa ngumu sana. You will do more to support the cause by watching from a distance than trying to defend your husband in this forum. I am just saying. I maybe wrong.

Nilijuaga JF wote ni ma Great Thinker kumbe tuna vilaza kibao sijui tutawasaidiaje ili tuwe tunajadili mambo kwa uhuru. hapa hatuko kuchambua ID tuko kuchambua maada acha ubongolala kama huna point jaribu nyingine mnachosha sana, haya kuanzia sasa nitalikana jina langu kisa ukiliona unaweweseka KILAZA - MBURULA wewe
 
Naomba tutofautiane, mi naamini kama Zitto ataendelea kuwa karibuna wenzake na kuendelea kukitetea chama chake dhidi ya propaganda za nje mtela na shonza hawana nguvu ya kumtingisha, hawa watu credibility yao imeshuka sana na soon chochote watakachokuwa wanaongea kitachukuliwa kama waropokaji tu na vijana walioshindwa siasa na wanatafuta mtu wa kuanguka nae.

shonza na mtela wamejimaliza wenyewe kwa sababu spidi waliyokwenda nayo ilikuwa kali mno na ndo maana hata ukifuatilia kwenye mitandao yote asilimia 90 ya
wachangiaji wapo kinyume nao.

Ni KInyume kwa sababu siku zote walikuwa wakimsimamia Zitto hili la kuamua kuconfess mbele ya umma limeshammaliza Zitto ni gharama kubwa sana kwake ameipata kujisafisha na kukaa nao mbali ni hapa kwa verified ID na unverified amekuwa akiwatetea leo hawezi kuwakana ,hawezi kuchomoka ,mwisho wa fitina ni fitina wahenga hawakutunga methali toka hewani walijua kweli
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe uzi wenyewe kaumwaga hapa na matusi kibao ndani yake enclosed unatakiwa kusoma between the line

mkuu kwa mara nyingine i salut u! Jamaa kakanusha na kuencapsulate matusi fulani, sema watu wanachangia kiushabiki zaidi bila ya kuupitia kwa umakini kugundua matusi yenyewe!
 
Nilijuaga JF wote ni ma Great Thinker kumbe tuna vilaza kibao sijui tutawasaidiaje ili tuwe tunajadili mambo kwa uhuru. hapa hatuko kuchambua ID tuko kuchambua maada acha ubongolala kama huna point jaribu nyingine mnachosha sana, haya kuanzia sasa nitalikana jina langu kisa ukiliona unaweweseka KILAZA - MBURULA wewe
Hahahahahaha!
Nimecheka mpaka kicheko cha leo hakikutosha ikabidi nichukue na kicheko cha kesho nikitumie leo lol!
 
huyu jamaa mpate kujua kuwa kwa sasa tayari ni gamba so kwa njia yeyote ile haitakii cdm mafanikio so kwa yeyote yule anaefurahia kauli zake za kutunga wakiwe akina ben mm namwona kwa mtazamo mwingine kabisa usio na mapenzi mema na mshikamano wa viongozi wa chadema,,,na siri kubwa ya hichi chama ni mshikamano wa viongozi wake akiwemo m/kiti,katibu na naibu wake,, ni ushari ushauri wangu kwa wenye tabiaza kujiitawanachama kama na huku nyuma wanashabikia kauli za akina bibidada shonza na mwampamba
 
Nimezisikia hizi habari zikishabikiwa na kiredio fulani kama sikosei ni clouds fm wameishabikia hii mada utadhani siyo professionals, as if ni wamama fulani wamekaa kibarazani wanajadiri umbea. Clouds FM inajipotezea sana status yake kushupalia uzushi tena kwa upendeleo, uzushi unaokichafua CCM wanakuwa kimya ila uzushi wa kuichafua CHADEMA utamsikia Geladi Hando, Kibonde na watu wa level hiyo jinsi wanavyo ishupalia kimbea,

Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na aibu ya kutumika na wanasiasa.

Mkuu mvaa tai hapo kwenye red wala hujakosea, hicho kiredio siku hizi kimebadili mwelekeo kabisa, mie nilikuwa msikilizaji mzuri sana wa haka karedio, lakini tangu waanze mambo ya umbea na mipasho nimeking'oa kabisa kwenye ratiba zangu za redio za hapa bongo. Kamepoteza mvuto kabisa kwenye masikio yangu. Hakana tena habari za maana, ni afadhali hata ukasikiliza redio uhuru kuliko haka karedio clouds. Yaani wale ni makanjanja wa kutupwa.
 
Kaka Mtenda mabaya hutendwa the Zitto era has gone for ever ,hili linabebwa na mitandao yote watu tumeprint kama copy 200 kuzisambaza wamjue head wa masalia ,no more the great Zitto, kila kitu peupe Mtela Mwampamba kamvua nguo na kumuweka barabarani ameconfirm yale tulikuwa tunasema pole Zitto ulidhani kuwachanja chale za matakoni wangenyamaza kwisha dhambi za zitto ni nyingi Arusha kawafanya watu wanapigwa nyanya mpaka leo kwa kuwasaliti udiwani wakati yeye alikuwa anawakazania wasikubali ushauri

Kwa siasa hizi mnazoendesha vijana wenzangu ni aibu
La kujiuliza ni timing ya hizo kashfa unazosema, inaonyesha hamko strategic na hamjui hata maana ya strategy.. haya maelezo yako na matendo yenu ni dalili za kukurupuka na ina reflect one thing for sure, YOU ALREADY A LOOSER AND YOU DONT CARE SINCE YOU HAVE NOTHING TO LOOSER... AMBACHO HUJAFAHAMU MPAKA SASA NI KWAMBA U MISS THE TARGET.. AND BIG GUY IS ON YOU BACK... hapo ndipo ninaposikitika ni pale kijana mwenye akili zako unakutana na simba katulia zake anajilia vya kwake una risasi moja tuuu unaambua kuitumia kumlenga... sasa umemkosa tafuta mti wa kupanda....

WAZO LANGU NADHANI MKAKAE CHINI MJE NA KASHFA KUBWAAAAA MFANO VIONGOZI WA CHAMA WALIKUWA WANAWAINGILIA KINYUME CHA MAUMBILE AU WALIWAHI KUWASHIKASHIKA SEHEMU ZA SIRIII AU WALIKUWA WANAWALAZIMISHA MZICHEZEE ILI MPATA UONGOZI KITAIFAA........... KASHFA KAMA HIZOO NDIO ZILIIZOBAKI NA SITASHANGAA MKIIBUKA NAZOOOO MAANA MLIVYO NA CHUKIII NA SLAAA NA UKICHUKULIA AINA HIII YA KASHIFA IMEWAHI KUWAKUMBA MAPADRE WENGIIII..... THAT IS PERFECT OPPORTUNITY TO TAKE HIM DOWN ....... AU SIO!!!!!!!!!!!!!!!????
 
Zitto anasema
"matendo ya mtu mmoja yasiguzwe taasisi"

Komredi,
Poleni sana. Hatimaye mmekanwa. Na bado tutaona na kusikia mengi. Kumbe mlijivika ujasiri na kiherehere cha kusema mliona ungaunga mwekundu? That post was so poor. Nadhani ndo ya kufungia 2012.

Haya, Muha kawachinjieni baharini. Na huko mlipo, muda si mrefu mtatupwa...mtaenda wapi? ADC? CHAUMA? CHAUSTA? NDL?
 
Ukisoma maelezo ya Mwampamba kuhusu ufafanuzi wa Zitto na uzandiki wa gazet la Mtanzania unachopata kufahamu mara moja ni kwamba siku hizi Mtela Mwampamba amegeuka Taasisi. Aisee yale maelezo ya Mwampamba ukiyasoma between the lines, na ukiangalia mpangilio wake point kwa point na baadhi ya injuctions zilizomo mle kama "Dont mess with your last poker card brother..." mara moja unapata picha kwamba aliyeandika haya si Mtela, ni taasisi fulani kutoka mtaa wa Lumumba inayomtumia Mtela kuandika haya.

Kwa kweli CCM kwa hawa vijana Mtela na Shonza wamelamba dume. Na wanawatumia ipasavyo hasa. Kila uzandiki, ufitnafitna, ushakunaku na uzabizabina wa CCM dhidi ya Chadema kwa kushirikiana na magazeti na hawa vijana wahamiaji umepata penyewe. So far Chadema response yao imekuwa very perfect. Usijibizane na vizabizabina maana hiyo ni distraction strategy ya adui.
 
Baada ya stori ya Kibanda kufifia nafikiri wanatafuta jinsi nyingine ya kuuza magazeti yao. Ingekuwa busara kuendelea na uchunguzi wa issue ya Kibanda hadi ukweli ujulikane na watu bado wangeendelea kununua magazeti. Mwanahalisi walikuwa wakiandika habari kwa undani hata kwa wiki mbili na watu walikuwa bado na kiu ya kujua ukweli na magezeti yaliuzika sana.

Najua hawawezi kusingizia mahakama kuwa wanaingilia uhuru wa mahakama kwani kwa uelewa wangu hakuna kesi imeshafunguliwa kuhusu Saga ya Kibanda.
 
wait a minute. umesahau kubadili ID. Hahaa
UNAFIKI mbaya sana w, umekuja kupima upepo au sio, Utawakamata wengine lakin sio sisi ambao tumezaliwa, tumekua, na kuishi jeshini, Tuna roho butu, Tumekomaa tafakari na ujasiri kabla hata ya umri wetu, Sipati tabu na wanafiki kama ninyi kwani nina somo tosha juu yenu.

Go 2 hell.........!
 
Ni KInyume kwa sababu siku zote walikuwa wakimsimamia Zitto hili la kuamua kuconfess mbele ya umma limeshammaliza Zitto ni gharama kubwa sana kwake ameipata kujisafisha na kukaa nao mbali ni hapa kwa verified ID na unverified amekuwa akiwatetea leo hawezi kuwakana ,hawezi kuchomoka ,mwisho wa fitina ni fitina wahenga hawakutunga methali toka hewani walijua kweli
Leo wewe wa kumwamini Mwampamba? kama ndivyo vyote Mwampamba na Juliana walivyovieleza ni vya kweli. umelose focuse, kwisha habari yako.
 
BADO KUNA TATIZO .. kuhusu hili saga la ZITTO na MASALIA ila itafahamika tu...

Nne, Nawashauri viongozi wenzangu wa CHADEMA na hasa wanachama tutumie muda wetu kujenga mshikamano ndani ya chama. Fitna, majungu, uongo, uzandiki nk kamwe havijengi chama. Chama chetu lazima kiwe mfano bora wa kuheshimu demokrasia na haki za binaadamu. Wananchi hawawezi kutoa dola kwa chama chenye mifarakano. Tusiruhusu kugawanywa kwa matakwa ya watu wachache. Tusimamie misingi ya kuanzishwa chama chetu.

BADO MIMI KUNA UKWELI AMBAO NAJIAMINISHA PANA MVUTANO/KUTOELEWANA KIMTAZAMO KATI YA ZITTO NA DR SLAA (HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI BASED ON TREND YA MATUKIO NA SIASA ZA CHADEMA)...


BINAFSI KIMTAZAMO NAONA CHADEMA NA TIMU NZIMA(VIONGOZI) BADO NAAMINI NI MKOMBOZI KWA NJIA YA KIDEMOKRASIA..KWA WATANZANIA WALIO HOI...
 
Nimezisikia hizi habari zikishabikiwa na kiredio fulani kama sikosei ni clouds fm wameishabikia hii mada utadhani siyo professionals, as if ni wamama fulani wamekaa kibarazani wanajadiri umbea. Clouds FM inajipotezea sana status yake kushupalia uzushi tena kwa upendeleo, uzushi unaokichafua CCM wanakuwa kimya ila uzushi wa kuichafua CHADEMA utamsikia Geladi Hando, Kibonde na watu wa level hiyo jinsi wanavyo ishupalia kimbea,

Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na aibu ya kutumika na wanasiasa.

Ni clouds fm mkuu,gerald hando na Pj!nimewasikia sana!walinichefua!ila wameumbuka
......Asante zitto umekata mzizi wa fitina
 
Leo wewe wa kumwamini Mwampamba? kama ndivyo vyote Mwampamba na Juliana walivyovieleza ni vya kweli. umelose focuse, kwisha habari yako.

Unawakataa wewe leo xheck post zako zote za nyuma mimi najua Zitto ,Mtela na Juliana lao moja Leo hii Zitto hawezi kuja kukanausha wakati hajawahi kukanusha habari zote ambazo wamemwaga jamvini wakitukana viongozi wote wa chadema na kumsifu Zitto,mimi nashauli Mtela ajiweke huru amkane Zitto na mambo yake yote kwa kuendelea kumalizia hiyo part two ya story sihitaji kufukua threads za Zitto,Mtela na Juliana hapa wana JF wengi wanafahamu mahusiano yao hapa jamvini leo kwa nini Zitto asiwaamini
 
Mkwishapotea kabisa.Lose focus.
Leo hii mnamwamini Mwampamba mmesahau juu ya DR kuhusika juu ya Deusi pamoja na Mzeaa wa CHASO LUDO?
Mnazani mnakisafisha chama ila ndo mnakimaliza chama.

Hayo yote Juliana na Mtela walikuwa wanawasema hao wakipata support ya Zitto wacha waseme yote hata yaliyobakia tukitoka hapo tunajua tumemaliza mzizi wa fitina kazi inaanza tukiwa tumemaliza unafiki wa Zitto itakuwa juu yake kujisafisha na kujiunga na kundi au kwenda kumalizia PHD yake ,Mtela we sema tu ukweli wa Zitto amewatumia vya kutosha watu wanawatema mate,kuwazomea,kwa ajili yake
 
ninacho thamini mimi ni Dhamira ya ukombozi itakayoishi vizazi vyote, ma siyo damu na mifupa itakayo kufa na kuoza kabisa na kusahaulika! Hata wasaka haki kama kina Garvey washaa fariki.....long time ila haki inatafutwa hadi leo kwenye mataifa yote duniani! Zito, akiamuaga anafanya kweli na inapendeza, ila siku zilizopita "silazima" tukubaliane kwamba alikua anakera, ila ukweli ndio huo! mfano anapokataa kutoka Mjengoni... Yani ukitaka Zito achape kazi, viongozi wa CCM WAMZINGUE UONE ATAKAVYO GEUKA NYATI
 
Back
Top Bottom