Siri imefichuka Marefa wetu kutochezesha mechi za CAF.

Siri imefichuka Marefa wetu kutochezesha mechi za CAF.

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,838
Reaction score
50,542
Udhaifu wa kutokujua lugha zaidi ya Moja hasa kifaransa na kiingereza ndiyo chanzo kikubwa cha marefarii wetu kutokupangwa kuchezesha mechi zinazoandaliwa na CAF.

Itakuwa ni aibu tuandae mashindano ya AFCON halafu marefarii wetu wasiwe sehemu ya marefarii watakaokuwa wanachezesha mashindano hayo.
 
Back
Top Bottom