Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,862
- 1,471
Unapugundua ujinga wako si vyema uendelee kujidhalili mkuuu kuanza upya sio ujinga uovu hauna rangi wala kabilaWanafundishwa na waarabu.
Unapugundua ujinga wako si vyema uendelee kujidhalili mkuuu kuanza upya sio ujinga uovu hauna rangi wala kabilaWanafundishwa na waarabu.
Nilishaugundua ujinga wangu long time ndio maana nimejitoa kwenye hayo ma Dini yenu, wee endelea kujazwa uchizi tu.Unapugundua ujinga wako si vyema uendelee kujidhalili mkuuu kuanza upya sio ujinga uovu hauna rangi wala kabila
waarabu wenyewe wa nn ? dini aina mwenyewe, wenyewe waislamu woteMbona waarabu wenyewe hawakati kanzu zao wala hawavai hivyo vipedo?
nilimjibu jamaa aliyesema mazoezi waende gym, wengine hawana pesaSijaelewa mkuu,Una maanisha?
Wee kwenda huko! Uislam ni asili ya Mwarabu, we mmatumbi umevamia tu, halafu unajiona unaijua hiyo Dini kuliko eti hata maswahaba wa mtume! Huko ni kutawaliwa kifikra.waarabu wenyewe wa nn ? dini aina mwenyewe, wenyewe waislamu wote
Ki ukweli hapo mimi ndiyo nashindwaga kuelewa kabisa, mtu utakuta anakomaa kusema waislamu wanapenda vita, ukiangalia ukweli hauko hivyo, sijui watu uwa wanatumia nn kufikiri?waliotengeneza HIV wana roho nzuri?..waliochinja wahindi wekundu wana roho nzuri?..waliomwaga agent yellow vietnam wana roho nzuri,waliopga atomic japan?chinja aborigin australia?walioendesha vita vya msalaba?vita iraq,afganstan?
Kwahiyo padri akiwa msenge ni matakwa ya dini take?Wengine kwenye magumu tunayo amini yanahitaji ufumbuzi, sala ndo kimbilio letu.... kwa hawa jamaa, wanaambiwa wasisali? Kweli hizi imani ziko tofauti.....
ahahahahahahah mwenyewe nimeshindwa kumwelewa prevention is better than cureTutaanza na wewe
nimecheka mno kwa kweliArusha wapo Kilombero ukiingia na suruali ndefu wanaikata kwa mkasi,kutwa nzima mazoezi ya karate,judo.
Dah ameenda mbali sana ndugu unaemtusi si saizi yako bali dhambi unapata wewe na usijejuta siku moja hakuna aliyemtukana nabii wa mwenzie ndugu utalaaniwa achaa kuwatusi manabii wa Mungu hata kama hawakuhusu.Mungu akurehemu akupe hekima katika kinywa chako mana kama angekua na hekima usingenena hayo no wonder you can do anything for the name of religion if you can go to such extreme.Mkuu lakini huyo unayemuita mvaa chupi msalabani Quran inamtambua. Ila Muhammad biblia haimtamki. Simaanishi kwamba hakuwa Mtume, ila kwakuwa huyo unayemwita mvaa chupi msalabani Quran inamtabua kama mmoja wa mitume, mpe heshima yake basi.
Kwani anayeuwawa naye anafaidi hao mabikra? Au anayeuwa tu??Bora mchinjane wenyewe huko Misikitini.
Wahishaneni kwenda kula mabikra
Dah ndugu bora umesema nilichotaka kusema najisi iko rohoni na wala si ktk vitu vya kawaida huezi ukaogopa uchafu kuliko kumkosea mungu wako kama tungekua tunaogopa dhambi kama hivi vitu tunavojidanganya ni najisi dunia ingekua na amani bt watu wamebobea kwa vitu vya kimwili zaidi na ndo mana hata kufanya matukio haya hawaoni shida.Nnavojua mimi najisi inaanzia rohoni sio nguoni wala vazi lolote. Siwazuii kuendelea na imani yenu hiyo lakini maana kilamtu yuko huru kuabudu anachoamini. Ila wakati mwingine ukikariri tu vitu bilakutafari ndoinafikia mahala watu wanapata mihemko isiyo nakichwa wala miguu, ikiwemo hilo tukio la Mwanza.
usiombe ukayaona ama kuyasikia wanayofanyiwa wakristo ktk nchi hizo basi tupalikua na wayahud na wakristo wakat wa mtume katika dola ya kiislam,pana wakristo iran ya leo,misri..waislam wa tanganyika walimpokea na kumlea julius nyerere mkatoliki swafi,dhana yako tu ya uadui inakusumbua
ukikosa hekima mtu mzima kama wewe especial kwa mambo ya Mungu si haba kuna kitu nyuma yako ambacho hukijui acha kukipa kizazi chako laana kisa mdomo .Usijione unapumua ukajiona ni mjanja wa kunena kila unalotaka ndugu watch outHakuna kashfa kubwa kama kumuabudu mvaa machupi, Ningelikuwa mm ni bora hata ningemuabudu mvaa machupi wetu Giggy
Mkuu comment yangu umeisoma nakuelewa lakini au umepita juu kwa juu?Dah ameenda mbali sana ndugu unaemtusi si saizi yako bali dhambi unapata wewe na usijejuta siku moja hakuna aliyemtukana nabii wa mwenzie ndugu utalaaniwa achaa kuwatusi manabii wa Mungu hata kama hawakuhusu.Mungu akurehemu akupe hekima katika kinywa chako mana kama angekua na hekima usingenena hayo no wonder you can do anything for the name of religion if you can go to such extreme.
Anafaidi mkuu. Tena wanawali dabini ambao hawajaingiliwa badoooo!!Kwani anayeuwawa naye anafaidi hao mabikra? Au anayeuwa tu??
wakati naambiwa kua uyaone sikujua kamantaona vibweka kamahivi. Wakati mwingine mtu unajiuliza hivi akiri huwa wanahazima au zinasahaulika nyumbani
