Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,462
Umesoma au unakurupuka tu? Wapi wamesema wamewauwa kwa kumpigania mtume? Na waliouliwa sima walikuwa wanampigania nani?Huwa kila siku sipati maana halisi ya baadhi ya mafundisho. R.I.P Feruzi umefariki ukiwa na umri mdogo sana eti na watu wanaompigania mtume!!!