Hakuna Mkristo ambaye ni mkristo Kweli anamchukia Muislamu. Hamna. Mkristo adui yake mkubwa ni Shetani, Mapepo/majini, wauaji,wabakaji,wazinzi,waporaji,wevi/wezi, wafitini n.k hao ndo maaudi wa Mkristo. mwenye sifa hizo hata kama ana jina la Kikristo ni adui wa Ukristo. UKRISTO UMEJENGWA KATIKA MSINGI MKUU WA UPENDO. YESU AKASEMA NAWAACHIA AMRI ILIYO KUU KULIKO ZOTE. NI UPENDO TU. So shetani kumtukana ,kumkashifu Yesu haikuanza leo. akiwa msalabani alikashfiwa hivyo hivyo na wafuasi wa shetani. na leo anakashifiwa pia. lakini huwezi sikia mkristo anasema aliyekashfu akatwe kichwa,anyongwe n.k. kwa nini? kwa sababu Wakristo wanapambana na Ile roho chafu ya shetani inayomfanya mtu huyo atukane au akashifu. tunataka watu kama akina
Granta waendelee kuishi zaidi na zaidi. lakini pia wasihesabiwe dhambi hiyo maana hawajui walitendalo. shetani/majini/mapepo yanawatumia tu wao kukashifu na kutukana.