Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,191
- 37,508
Mwanza waongoza mazoezi ya carate, ngumi, judo etc kwenye vikundi wengi ni waislam hata nyakato.... niliona wanahojiwa kwenye Tv ila wanacho sema ni kwamba wanafanya mazoez tu kujiweka fit, polisi chunguzeni sana hawa watu nadhani sio wema sana (nadhani sina uhakika).... maana nilishangaa wengi walikuwa na sigda kubwa kabisa usoni na zile ndevu ... na ikibidi
haya mazoez yapigwe marufuku kwa muda....
Arusha wapo Kilombero ukiingia na suruali ndefu wanaikata kwa mkasi,kutwa nzima mazoezi ya karate,judo.