Siri 5 Mauaji Msikitini

Siri 5 Mauaji Msikitini

Polisi warejee mazungumzo ya viongozi wote wa din kabla kuhusiana na wenzao kukamatwa, kitendo cha wahalifu kusema wamesalitiwa kwamba kwa nin wao wanasali wakati wenzao wamekamatwa, tayari kinaweza kuonesha wahusika ni wakina nani. Haiwezekani mtu aibuke tu kuuliza makubaliano ambayo hayakuwepo.
Japokuwa wamemuua Imam, lakin kuna haja ya kuangalia in and out zake zote na za viongoz wengine kabla ya mauti.
Jambo jingine, hapa unauona umuhimu wa mguu wa kuku kibindoni, hata kama ni kusanyiko la dini sababu wanasiasa wameshapose hii nchi kwenye risk potentials nyingi sana sasa lazima kama una uwezo ujilinde.
Wajinga wajinga wakija na mapanga na mashoka bila bunduki, kabla hujachinjwa unaweza kufurukuta ukafa na baadhi.
Otherwise, poleni sana wafiwa.
 
ina maana kila mtu anayeingia uislamu basi anawaona wengine kama adui???? au anaonewa au anasingiziwa???maana kauli hizi za eti chuki zimezidi,au ukiwa Mwislamu maana yake ni kuwa Mlalamikaji wa kuchukiwa na kuonewa???wake-up Bwana.
soma ulichoandika halafu nieleweshe
 
Nikweli,ila kwa wakati tulionao wa matukio ya kigaidi na mengineo,sio mbaya ikapitishwa sheria au zuio ya kuzuia mazoezi ktk nyumba za ibada, kwa mpenda mazoezi gym mbona zipo nyingi tu, wasizuie watu kufanya mazoezi, mazoezi kiafya ni muhimu, si wengine kupita week bila kuingia gym kupiga skwati na kulift weight akili na mwili haikai sawa,,
Kwa hiyo huko gym hawawezi kufanya uhalifu
 
Mkuu nivitabu ndo vinatofautiana hapo. Wakati wengine wanafundishwa kusamehe nahata wanaambiwa akupigaye shavu lakushoto mgeuzie na lakuria, wengine wanafundishwa kupambana, kuua, kupiga karate nk. Ukitafakari kwa undani hapo wala huhitaji kuwa na degree kujua anayefundisha ya Mungu niyupi na anayefundisha ya shetani pia.

Wala usisumbuke kujibizana mkuu hiyo ndo hali halisi na haikuanza leo, nikarne juu ya nyingine.
'kisasi ni haki lakini kusamehe ni bora'-qur'aan,wewe ungefata nini hapo kwenye ushauri wa ALLAH(S.W)?..tatizo lenu uislam hamuujui,mnahadithiwa tu na viongoz wenu wanaotaka sadaka zenu hadi siku mnakufa..pia uchamungu sio ukondoo,upigwe,uonewe,udhulumiwe we utulie tu,huo ujuha
 
Ww unamuabudu nani, mvaa machupi wa msalabani au Yesu
kuna maruhani mawili au matatu yanakuchanganya ndiyo maana una visa na chuki binafsi, pole sana...mfungo unakaribia, so kwa siku hizi zilizobaki Malizia ratiba zako za kuwala tigo watoto wa watu(wa kike na wa kiume),Malizia kutukana, kawalipe wadeni mabaamedi ulowakopa then kaonje kitimoto kilo moja tu kisha kaka utulie ujiandae kumpiga mawe shetani...sawa mjomba?
 
Nnavojua mimi najisi inaanzia rohoni sio nguoni wala vazi lolote. Siwazuii kuendelea na imani yenu hiyo lakini maana kilamtu yuko huru kuabudu anachoamini. Ila wakati mwingine ukikariri tu vitu bilakutafari ndoinafikia mahala watu wanapata mihemko isiyo nakichwa wala miguu, ikiwemo hilo tukio la Mwanza.
Unatoa hoja za akili yako si hoja za waislam kuhusu hilo la kuvaa suruali isiyoburuza

Na kama kufuata akili yako hata mavi utasema sawa kuliwa
 
kuna maruhani mawili au matatu yanakuchanganya ndiyo maana una visa na chuki binafsi, pole sana...mfungo unakaribia, so kwa siku hizi zilizobaki Malizia ratiba zako za kuwala tigo watoto wa watu(wa kike na wa kiume),Malizia kutukana, kawalipe wadeni mabaamedi ulowakopa then kaonje kitimoto kilo moja tu kisha kaka utulie ujiandae kumpiga mawe shetani...sawa mjomba?
Umetwanga viroba vingapi asubuhi hii
 
Echolima;
Acha matusi nyemelezi, ndevu zangu zakuwasha nini?? Sema maneno mengine kama huna maneno kukaa kimya nako ni mchango.
Nitazifuga ndevu zangu nipendavyo, hakuna sheria ya kunyoa au kufuga. Weye fuga kitimoto miye nafuga ndevu. Habari hapa ni kwa nini wawaue watu waliokuwa wanaswali huku wakisema wao ni wenye imani hii hii??
Chuki ni maradhi makuu kuliko.kansa
 
Mkuu lakini huyo unayemuita mvaa chupi msalabani Quran inamtambua. Ila Muhammad biblia haimtamki. Simaanishi kwamba hakuwa Mtume, ila kwakuwa huyo unayemwita mvaa chupi msalabani Quran inamtabua kama mmoja wa mitume, mpe heshima yake basi.
Kumbe yule aliyevaa chupi ndiye masihi acha kumdhalili kumfananisha kinyago cha mpingo
 
Huwa najiuliza waarabu ndo wangekuwa super power wa Dunia hii mfano kama Marekani, France, Uk, German, Russia, China, Japan nk. Wangeruhusu imani nyingine kweli nje ya uislam?
Uislam sio uarabu
 
Subiri sasa, We jifanyaje mjuaji tu.
Umekula sabuni Omo ngapi asubuhi ya Leo , Hilo mpovu mdada litakuua. Polisi wafanye kazi Hao waachane na miluzi ya wala kitimoto kwa mineno Hao mbofumbofu sijui wavaa njiwa Hao, wafuga ndevu, wafuga majini, wacheza judo na mengine blahblah yanayoweza kusababisha wahalifu wasikamatwe
 
Umekula sabuni Omo ngapi asubuhi ya Leo , Hilo mpovu mdada litakuua. Polisi wafanye kazi Hao waachane na miluzi ya wala kitimoto kwa mineno Hao mbofumbofu sijui wavaa njiwa Hao, wafuga ndevu, wafuga majini, wacheza judo na mengine blahblah yanayoweza kusababisha wahalifu wasikamatwe
Unalijua povu lakini?, halafu uwe na adabu usidhani kila mtu humu ni dada kama wewe.
 
Wengi wa hawa mujahidina ni watu waliogubikwa na umaskini uliokithiri, hawana future, Elimu zao ni za hapa na pale,mara zote hawana shughuli nzuri za kuwaongezea vipato, wana chuki na maisha ya wanadamu wanaoishi kwa raha na kuvaa, na kula vizuri, hawa hata pa kwenda kuishi vizuri hawana, baba maskini, au hayupo, mama maskini na ndoa zilizovunjika, hawa hata ukimvisha Bomu kwa mstari mmoja tu wa aya anakwenda, wanatumi Dini kuiba, kubaka na uchafu wote .
 
Back
Top Bottom