Sipendi hii tabia...

Marry me basi cute
hujafikia kiwango bado mana hujui ulitakalo bado unatangatanga sasa sijui na real life ndio ulivo kweli KAMA NDIVO BASI uko na haki ya kuachwa na Mwali
kila mtu kwako ni marry me plzzzzzz kwann unabembelezea ndoa ivo au u have some chronic problems zinafanya wakukimbie u scared me boy
sorry kama nitakuboa ila huo ndio ukweli angalia tatizo liliko na sio kulalamika na kuhamahama mana hata wazazi wetu wangefanya ivo pengine na wewe usingekueko (HII NI KUTOKANA NA THREAD ZILIZOPITA)nimeflash back kidogo kwawale wasomaji wa riwaya wanajua especially mwali ambaye ashasoma ile ya mwanakijiji atakua anaelewa nini maana ya flash back
USILIKIMBIE TATIZO FACE IT LIKE A MAN
 
hujafikia kiwango bado mana hujui ulitakalo bado unatangatanga sasa sijui na real life ndio ulivo kweli KAMA NDIVO BASI uko na haki ya kuachwa na Mwali
kila mtu kwako ni marry me plzzzzzz kwann unabembelezea ndoa ivo au u have some chronic problems zinafanya wakukimbie u scared me boy
sorry kama nitakuboa ila huo ndio ukweli angalia tatizo liliko na sio kulalamika na kuhamahama mana hata wazazi wetu wangefanya ivo pengine na wewe usingekueko (HII NI KUTOKANA NA THREAD ZILIZOPITA)nimeflash back kidogo kwale wasomaji wa riwaya wanajua especially mwali ambaye ashasoma ile ya mwanakijiji
USILIKIMBIE TATIZO FACE IT LIKE A MAN

hongera kwa kuandika point, ngoja nikuache manake naona chit chat unaifanya kama ni real vile...hapa hujuani na mtu mama ..dont take things too serious.
 
hongera kwa kuandika point
nashukuru umeiona na kama ww ni muumini mzuri basi roho wa bwana akakuongoze ktk kuielewa na kukusaidia kugundua tatizo liliko..ameeen!
ubarikiwe sana mkuu jumapili ya leo na ikawe tofauti kwako
stay blessed
 
Kwa staili hii yule mtoto hesabu umemkosa Arifu, labda kama hatembelei lile Jukwaa lililokupatia umaarufu humu Jei efu..
 
Back
Top Bottom