Sipendi hii tabia...

Utakuta mtu ameshajua kuwa saint ivuga wa JF ni nani anazunguka zunguka kuambia watu kuwa fulani ndio SI .mwanaume mzima kidomodomo cha nini? Si ukaushe unawashwa na nini? tukitaka kujulikana kwa majina yetu real tutajitokeza tu ...kula tano zako na tulizana mwanaume mzima kuwa mbea haisaidii...
@ bongo dsm.
bwahahaha arifu niaje aiseee.......kujuana na jamaa wa humu michosho sana arifu......mpe kubwa huyo
 
kwema chalii 'angu.. Kwa hiyo mwana wadau wameshakuweka uchi hazarani? Nanihi naye ameshtukia?

madogo wanazingua mtu wangu .....nangoja kadi ya michango ya arusi toka kwako au vijimaneno vyote zile zilikuwa kufurahisha baraza tu
 
Punguzeni vilomo lomo jamani....khaa!!

On a serious note; Mtu unaanzaje kumtangaza mwenzio kwa watu ilhali yeye mwenyewe hapendi?? Akitaka kujulikana atajiintroduce mwenyewe.......hayo mengine sio ustaarabu kabisa! Ukiongea na watu kwamba we wamjua flani inatosha sio lazima uwaoneshe na wao wamjue!!!

Tuweni na staha jamani!!

kipipi tena mi ndio nimeshasema nampenda 'M' sasa nikijulikana na walimwengu??? mh..........!
 
Utakuta mtu ameshajua kuwa saint ivuga wa JF ni nani anazunguka zunguka kuambia watu kuwa fulani ndio SI .mwanaume mzima kidomodomo cha nini? Si ukaushe unawashwa na nini? tukitaka kujulikana kwa majina yetu real tutajitokeza tu ...kula tano zako na tulizana mwanaume mzima kuwa mbea haisaidii...
@ bongo dsm.
...kamanda vipi tena...wadau wamezingua..?@Saint Ivuga
 
Back
Top Bottom