Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

On the other hand don't feel bad na usimind sana kuambiwa msalimie shemeji.

Maybe you look very good, classic and high maintenance so its hard for people to fathom how you could pull that without a man.

Positive vibes girlie.
nipo tu kawaida sijui ni kwanini wananiwazia hivo labda vile hawajawai kuniona na mwanaume
 
Dah.....


Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Kama nilivyokwisha elezea kwenye Uzi tofauti tofauti.
Kati ya mwanamke na mwanaume MTU wa kwanza kumtongoza mwenziye ni MWANAMKE , kazi ya MWANAMME ni kutamka tu. Matendo yote ya ishara za kimapenzi zinakuwa tayari zimeoneshwa kwa mwanaume.kwa hivyo Dada achia hisia zako Wanaume wazisome au ziachie kwa yule unaye m-feel yy amsukume MLEVI
 
b66635a90d12200479f574534787f30e.jpg


Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Hiyo avatar ndio wewe?

Sent from my SM-N920V using JamiiForums mobile app
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Ulinielewa vibaya nilimaanisha mme wa dada yako (shemeji) naomba urudi miss tuendelee na chat yetu
 
Tatizo sina gari wala nyumba, au wew sio vigezo vyako? Naona umeandika unaendelea kuchagua

Sent from my BF_A8 using JamiiForums mobile app
 
Toa sifa zako bac,km ni mweupe,mweuc,mfupi,umri wako itakuwa poa..au km vp npm pkee yng bac..niko serious eeh
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Miss natafuta

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom