Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,874
ahaaa sawa .
So what all the fuss about?
ahaaa sawa .
Nakama umesha gonga 30+ jiandae kuwa single mother
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
mkuu achana na hao watoto ,siogopi kuwa single maza hata siku moja , kuna wanawake waliolewa kwa mbwembwe tu ila siku mbili tatu waume zao wakafa wakaacha wa watoto kibao.kuwa single maza sio option haitabiriki .Usimtishe Miss Natafuta, being a mother, let alone a single mother, is a noble calling. Not for every woman out there
Kudos to all mothers out there
Simtishi mkuu anavuna alichopandaUsimtishe Miss Natafuta, being a mother, let alone a single mother, is a noble calling. Not for every woman out there
Kudos to all mothers out there
Chenge mzee wa vijisenti anaomba namba yakokila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
mkuu achana na hao watoto ,siogopi kuwa single maza hata siku moja , kuna wanawake waliolewa kwa mbwembwe tu ila siku mbili tatu waume zao wakafa wakaacha wa watoto kibao.kuwa single maza sio option haitabiriki .
anataka kunituma tra nirudishe hela za esrow ama anatakaje?Chenge mzee wa vijisenti anaomba namba yako
Ukisema unavotaka unakosea miss Natafutakusema kweli kukaa na mtu anigegede tu kisa ndo kianzio cha ndoa siwezi kabisa . ipo siku nitakutana na atakaenipenda na kufanya navotaka. Mungu ananijua zaidi
ahahaa sivai magauni muda wote hata vipedo navaaLabda ni hayo magauni unayovaa
Anataka utamu wa uvungunianataka kunituma tra nirudishe hela za esrow ama anatakaje?
Yaani upate mwanaume atayefanya unavyotaka.Utasubiri sana.Au ukimpata atakuwa marioo. Hakuna mwanaume anayejitambua anayefanya kwa kuamriwa na mwanamke.kusema kweli kukaa na mtu anigegede tu kisa ndo kianzio cha ndoa siwezi kabisa . ipo siku nitakutana na atakaenipenda na kufanya navotaka. Mungu ananijua zaidi
una hela gani mkuuUbonge
Kupenda hela
kuhusu sex .mengine tutasikilizanaYaani upate mwanaume atayefanya unavyotaka.Utasubiri sana.Au ukimpata atakuwa marioo. Hakuna mwanaume anayejitambua anayefanya kwa kuamriwa na mwanamke.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
sina tatizo baby maisha tuWe nawe utakuwa una matatizo lakini uko kwenye denial.