Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Ouch! Bitter truth.
Hizi imani zako ndo zinazokimbiza wachumba
watu hutongozana kwa sababu tofauti hata kutamaniana tu
au kusogeza mda but wakaishia kuwa na future vilevile
sio wote waliooana walipanga kufunga ndoa
wengine walianza kama tu kupoteza mda wakanogeana ikaja ndoa..

Wewe unaetaka mtu akuhakikishie ndoa kwanza endelea kutafuta
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Ni zaidi ya post 3 unatuma zikionesha unahitaji Mtu au unatafutia watu(wanawake) wanaume.

Weka wazi itasaidia

Sent from my TECNO F6 using JamiiForums mobile app
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Ni zaidi ya post 3 unatuma zikionesha unahitaji Mtu au unatafutia watu(wanawake) wanaume.

Weka wazi itasaidia
 
On the other hand don't feel bad na usimind sana kuambiwa msalimie shemeji.

Maybe you look very good, classic and high maintenance so its hard for people to fathom how you could pull that without a man.

Positive vibes girlie.
 
Thanks uko charming nlijua utanijibu tofauti ,uko social sana na wanaume ndo maana wengi wanakuchukulia una mtu au wengine mmekuwa close hadi wanashindwa pa kuanzia.

Mimi personally ningem-pm huyu Miss Natafuta ila kuna tabia ya wadada humu jf ukim-text pm anakupotezea, au ana-complicate mambo, kwa upande wangu mimi nimeshachoka kutongoza humu jf na niliapa sitajichoshaga tena, dada yangu mtoa mada tafta tafta humu jf au mtaani huenda ukapata Tajirimsomi Miss Natafuta mahondaw issa mweusi Nyani Ngabu PlayBoyMwema Root cephalocaudo
 
naona uvivu wa kuanza kujibizana na mtu maana hata ukisema huna wanaanza maongezi marefu tena . mara onesha kidole kama una pete ,mara nipe simu yako nikae nayo siku mbili .all those drama mi inabidi nikubali tu
Mapenzi ni drama dada yangu.
 
Back
Top Bottom