mambo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 2,371
- 5,608
Mimi sikubaliani na siasa za CCM, lakini nitapinga wale watakaomgroup huyu jamaa na kina Ridhwani. Namjua Sioi tangu akiwa Forodhani Primary School, Lutheran Junior Seminary na hata baada ya kwenda kusoma Uingereza. Ni kijana mstaarabu na mwenye upendo. Nashindwa kuelewa kwa nini yeye amegombea badala ya kaka yake Kisali, kwani yeye ndio alikuwa na trait za siasa katika familia yao.
Nilisikia kuwa kaka yake ana problem ya drugs and ni kitu kilikuwa kinaisumbua sana familia.nakumbuka hata kwenye arusi ya sioi ndio alikuwa anapata nafuu baada ya kumpleka rehab