Rufiji
Platinum Member
- Jun 18, 2006
- 1,952
- 1,153
Hii Yote ni mifano mibovu.
Kitila,
Inabidi tuachane na fikra zilizopitwa na wakati, kifo ni part and parcel ya maisha ya mwanadamu. Mimi sioni kosa kwa huyo kijana kugombea hiyo nafasi ingwaje baba yake amekufa wiki tatu zilizopita. Maisha yanaendelea , kwa hiyo kama kijana anaona ya kuwa yeye ndio anaweza kuendeleza pale baba yake alipoishia, more power to him. CHADEMA mnatakiwa mjipange kama mtakuwa strategic na kutokuruhusu infiltration ya wana CCM kwenye uchaguzi wenu mtashinda. Ni lazima mtambue ya kuwa chaguzi hii mtakuwa mkipambana na Lowassa, kwa hiyo y'all need to be ready. Umeona alivyoweza kusambaratisha ukoo wa Kaaya hapo juu?