Sioi Sumari achaguliwa na CCM kumrithi baba yake Arumeru Mashariki!

My final conclusion ni kuwa Sarakikya atasimamishwa na vikao vya juu kuwakilisha jimbo. CCM cannot affort 'NEPOTISM-POLITICS'. Sioi atakuja kupewa nafasi siku zijazo na ataahidiwa kupatiwa kazi nyingine. Too soon for Sumari's name to appear in the balot paper 16 months after 2010 election.
 
Yaa watafanya hivyo only and only if they want to easily loose.
 
Nilisema hapa baadhi ya wanajamvi wakawa wakali kweli sasa yametumia.na mchezo takuwa hivi.

MAGAZIJUTO:
WOTE HAWA NI NDUGU

SIOI + BABA MKWE LOWASA * MWENYEKITI TUME YA TAIFA UCHAGUZI = USHINDI WA KUCHAKACHUA.

ANGALIZO:
HAPA CHADEMA TUNAHITAJI WATU MAKINI SANA LA SIVYO TUTALIA KILIO CHA SAMAKI
hawawezi kufanya hivyo kwani hawawezi kuharibu keki kubwa kwa kula kek ndogo, reje methali ya ukitaka kula nguruwe kula aliye nona ili hata kama una tenda dhambi angalau ulifaidi
 
CCM=Chama Cha Makabidhiano, yaani hawa jamaa nahisi hadi ukabila upo bado wanaendeleza mambo ya kifamilia hadi leo kweli maharage mboga kuku nyama ya hamu kwetu siye walalahoi
 
CCM=Chama Cha Makabidhiano, yaani hawa jamaa nahisi hadi ukabila upo bado wanaendeleza mambo ya kifamilia hadi leo kweli maharage mboga kuku nyama ya hamu kwetu siye walalahoi

Sina hakika kama unavijua vyama siasa TZ sawa sawa. usingetupa hili dongo kwa CCM pekee.
 
Hivi arobaini ya mzee lini ni isije kuwa siku ya kupiga kura au

katikati ya kampeni mkatukumbusha mauchungu tena.
 
CCM will reign again in Arumeru Mashariki.
Hakuna ufalme hapo, si amechaguliwa kwa kura halali?

Yeah hapo pana ukweli.....mtu asinyimwenafasi eti sbb baba yake alikuwa ni kiongozi, hata kwa wenzetu dunia ya kwanza hii ni kitu cha kawaida maadamu anayegombea nafac anao uwezo wa kuimudu
 
Mimi sikubaliani na siasa za CCM, lakini nitapinga wale watakaomgroup huyu jamaa na kina Ridhwani. Namjua Sioi tangu akiwa Forodhani Primary School, Lutheran Junior Seminary na hata baada ya kwenda kusoma Uingereza. Ni kijana mstaarabu na mwenye upendo. Nashindwa kuelewa kwa nini yeye amegombea badala ya kaka yake Kisali, kwani yeye ndio alikuwa na trait za siasa katika familia yao.
 
Yeah hapo pana ukweli.....mtu asinyimwenafasi eti sbb baba yake alikuwa ni kiongozi, hata kwa wenzetu dunia ya kwanza hii ni kitu cha kawaida maadamu anayegombea nafac anao uwezo wa kuimudu
You cannot justfy impurities in anyway.
 
Mimi sikubaliani na siasa za CCM, lakini nitapinga wale watakaomgroup huyu jamaa na kina Ridhwani. Namjua Sioi tangu akiwa Forodhani Primary School, Lutheran Junior Seminary na hata baada ya kwenda kusoma Uingereza. Ni kijana mstaarabu na mwenye upendo. Nashindwa kuelewa kwa nini yeye amegombea badala ya kaka yake Kisali, kwani yeye ndio alikuwa na trait za siasa katika familia yao.

alienda kusoma UK, BASI NI KILAZA....... j.makamba, nape, ni kundi lile la vilaza!! hamuwez tia mguu vyuo vya bongo ni disco nyie...
 
Ama kweli imeandikwa, aliyenacho ataongezewa!
Udumu utawala wa kisultani wa ccm
Sioi sumary,ridhiwani Kikwete,January makamba,victor kawawa,Zainabu kawawa,Hussein mwinyi,aman karume,William malechela,munde tambwe,beno malisa,na kadhalika
 
Hatimaye mtoto wa Sumari (RIP) amechaguliwa na chama chake kupeperusha bendera ya CCM.
Chadema wapange timu bora kabisa kule! Wawatumie zaidi vijana wenye ushawishi! Ikitokea Chadema mkashindwa kulitwaa jimbo hili nawahakikishia tutegemee msiba mzito 2015! No justification this tyme mjue hilo,sijui kura zimeibiwa au chochote hatutaki kusikia! Tumewaamini lazima mshinde! Kama tunashindwa now ccm ikiwa mahututi ikiimarika kidogo kuna upinzani kweli? Chadema lazima mshinde na kampeni zenu ziwe Cost effective,efficient and economy! Lazima muwe na watu wanaojitoa kutumikia wananchi ili kuja kukomboa nchi mikononi mwa ccm iliyochoka! Msiwe na wanachama wa kulia na posho ktk harakati hizi ngumu! Fanyeni kazi usiku na mchana kwa gharama kidogo lakini mkiwa na timu ya watu wenye ari kubwa! Msiwaonee haya ccm hasa huyo EL ambaye atakuwepo huko! Waambieni yote wananchi kwa lugha nyepesi kabisa! Mwisho uchaguzi wa kuteua mgombea wenu uwe wa uhuru na haki! Haka kauchaguzi kadogo hatutegemei malalamiko! Wekeni process wazi ili hata atayekosea isíhitaji maelezo! Kila lakheri!
 
Sioi sumary,ridhiwani Kikwete,January makamba,victor kawawa,Zainabu kawawa,Hussein mwinyi,aman karume,William malechela,munde tambwe,beno malisa,na kadhalika

Lucy Owenya + Ndesamburo + Grace kihwelu =KAWAWA+NAPE+JANUARY..vyama vyote ni yaleyale 2..MODS MTOE NA HII
 
Back
Top Bottom