Sioi Sumari achaguliwa na CCM kumrithi baba yake Arumeru Mashariki!

Sioi Sumari achaguliwa na CCM kumrithi baba yake Arumeru Mashariki!

Mkuu Rejao,
Nadhani huyo kijana atapeleka msiba mkubwa ndani ya Chadema.

Pro-Chadema JF wamebaki kujiliwaza na kujifariji huku wakitapatapa hovyo.

Wengine wanasema kachagulia kislutan wanasahau kuwa ndani ya Chadema wapo watu wengi tu wa familia moja.

Huyu kijana amekuwa pigo kubwa kwa CDM. Angalia comments za MTM...
Sidhani kama CDM watakuwa na nguvu ya kumsimamisha mtu kupingana naye!
 
Tatizo kubwa ninaloliona Kwa huyu kijana ni timing. Kiafrika ilikuwa ni mapema mno kugombea baada ya kifo cha babake. Kimsingi bado yupo msibani na hii haiwezi kupokelewa vizuri na wapiga kura, unless uafrika wa wameru ni tofauti!
Joseph Kabila from Laurent Kabila.
Ali Bongo from Omar Bongo, Faure Eyadema from gnassingbe Eyadema........
 
Tatizo kubwa ninaloliona Kwa huyu kijana ni timing. Kiafrika ilikuwa ni mapema mno kugombea baada ya kifo cha babake. Kimsingi bado yupo msibani na hii haiwezi kupokelewa vizuri na wapiga kura, unless uafrika wa wameru ni tofauti!

Kwa hili Kitila...hapa uafrika tusiusingizie maana hata wakati wa Machifu akifa baba mtoto anaendeleza kazi, maana ukichelewa chifu wa jirani anaweza kukumeza.
 
Acha wivu elimu ya kibongo huwezi kufananisha na nchi za wenzetu .. unataka kunambia ukipewa nafasi oxford na udsm utachagua UDSM ..? Hahaha ..
Kwani alienda oxford? Naona kama umeongea sana
 
Huyu kijana amekuwa pigo kubwa kwa CDM. Angalia comments za MTM...
Sidhani kama CDM watakuwa na nguvu ya kumsimamisha mtu kupingana naye!

Kamanda.... I am happy we are going to have two youths for the first time.... just the two of them, and they know each other very well, and in fact they are not enemies (we create these differences)

I am hoping the fairest results of all time in our country and may the rightful winner lead and change arumeru, who has always been below per due to siasa ngafu na udini kiasi
 
kamanda wameru ni tofauti,
  1. unakumbuka ule mtafaruku wa walutheri?
  2. unakumbuka jamaa wanaongoza kwa kuua watu kwa mawe?
  3. unajua wameru ni kabila moja lenye kalcha ya sultanate au kingdom na inafanya kazi
  4. unajua kwamba jamaa wanaabudiana??

the boy is an excellent personality, ila sijui ata-fair vipi kwenye hili... he has a lot of respect from ordinary youth kwani ni mtu wa watu wote,

Kutoka na hii hoja yako dhaifu unataka kuwaaminisha Pro-Chadema JF wenzako kuwa Arumeru hakuna chenu?
 
tupe habari kamili, kapata kura ngapi, na waliomfuatilia nao wamepata ngapi,ili habari ikamilike vizuri

Hapo ndipo mchezo wa wizi unapofanyika hebu tunaomba idadi ya kula zote na zilizo haribika halafu ujumlishe na zilizo pigwa kwa wagombea tafadhali watu huwa hawaelewi mchezo huu.
 
Mkuu Rejao,
Nadhani huyo kijana atapeleka msiba mkubwa ndani ya Chadema.

Pro-Chadema JF wamebaki kujiliwaza na kujifariji huku wakitapatapa hovyo.

Wengine wanasema kachagulia kislutan wanasahau kuwa ndani ya Chadema wapo watu wengi tu wa familia moja.

Kwa hiyo mkuu unatoa rasmi ahadi ya kutembea uchi kutoka posta hadi kimara bonyokwa?
 
Kutoka na hii hoja yako dhaifu unataka kuwaaminisha Pro-Chadema JF wenzako kuwa Arumeru hakuna chenu?

Vipi mkuu kutakuwa na harufu ya udini kama Igunga na Uzini?
 
Kutoka na hii hoja yako dhaifu unataka kuwaaminisha Pro-Chadema JF wenzako kuwa Arumeru hakuna chenu?
Shoddy analysis leads to shoddy conclusion from a rather shoddy pal, arivedechi!
 
kamanda wameru ni tofauti,
  1. unakumbuka ule mtafaruku wa walutheri?
  2. unakumbuka jamaa wanaongoza kwa kuua watu kwa mawe?
  3. unajua wameru ni kabila moja lenye kalcha ya sultanate au kingdom na inafanya kazi
  4. unajua kwamba jamaa wanaabudiana??

the boy is an excellent personality, ila sijui ata-fair vipi kwenye hili... he has a lot of respect from ordinary youth kwani ni mtu wa watu wote,

kama ulikuwa kichwani kwangu . Asante.
 
Nilisema hapa baadhi ya wanajamvi wakawa wakali kweli sasa yametumia.na mchezo takuwa hivi.

MAGAZIJUTO:
WOTE HAWA NI NDUGU

SIOI + BABA MKWE LOWASA * MWENYEKITI TUME YA TAIFA UCHAGUZI = USHINDI WA KUCHAKACHUA.

ANGALIZO:
HAPA CHADEMA TUNAHITAJI WATU MAKINI SANA LA SIVYO TUTALIA KILIO CHA SAMAKI

WIZIMTUPU:
WOTE HAWA NI WEZI(NDUGU)

(SIOI +lOWASSA* BABA MKWE LOWASA (MWENYEKITI TUME YA TAIFA UCHAGUZI)+MWIGULU NCHEMBA(MBAKAJI))*HAKI/HAKI =WIZI WA KURA(JEHANAMU WANACCM).
HII KWARESMA JAMANI
 
huyu dogo bana yaani kwa kuwa babake alikuwa mbunge basi yeye anadhani anaweza kuwa mbunge...mawazo ya hovyo hovyo sana haya
 
wala haishangazi hii nchi hii ni ya watu flani flani
 
Siyoi Jeremiah Sumari kura 361,William Ndeoya Sarakikya kura 258,Elirehema Moses Kaaya kura 205,elishilia kaaya ambaye ni mkurugenzi mwendeshaji wa aicc na mjumbe wa nec ya ccm alipata kura kura 176,musani kura 22 na urio kura 11

mara baada ya ushindi huo Sumari alisema kuwa anawania ubunge ili aweze kupunguza ama kumaliza changamoto zilizopo ndani ya jimbo hilo .

Alisema yeye ni mkazi wa jimbo hilo na ameshatembelea matawi yote ya ccm na kujua changamoto mbalimbali ambazo ameeleza kuwa muda ukifika atazianisha moja baada ya nyingine na kueleza mikakati ya kushirikiana na wanaccm kupata ufumbuzi wa kuzitatua

Katika uchaguzi uliopita ndani ya CCM baba yake siyoi yaani marehemu jeremiah sumari alishinda kwa kuzoa kura 11,377 na kufuatiwa na elirehema aliyepata kura 3,339 na Sarakikya alishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 1,371

kaaya aligombea ubunge na marehemu sumari mwaka 2005 na kushindwa vibaya ambapo katika uchaguzi uliopita aliogopa kutia jina.
kwa mujibu wa ratiba ya ccm,sasa kinachofuata ni vikao vya kujadili na kutoa mapendekezo kuanzia wilaya,mkoa hadi kamati kuu itateua mgombea Februari 27
 
huyu dogo bana yaani kwa kuwa babake alikuwa mbunge basi yeye anadhani anaweza kuwa mbunge...mawazo ya hovyo hovyo sana haya

Mbona Ndesamburo, na mtoto wake wote ni wabunge? Mbona Tundu Lissu, na Dada yake wote ni wabunge?
 
Sumari 361
Sarakikya 259
Elilehema Kaaya 205
Elishilia Kaaya 176

Anthony Musami 22 na
Ndg Urio 11

Utawala wa kifalme wa mbio za kupokezana vijiti kupokezana kama Korea vile vile.
Mambo ya uroho wa madaraka CCM hata watu wa familia moja wanashindwa kuachiana nafasi. Hizo kura za akina Kaaya ukijumlisha zilitosha kumwibua mmoja kuwa mshindi, mapato ya kugombania nafasi wameishia kugawana kura na hakuna mshindi.
​
 
Back
Top Bottom