Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Unaonesha ulivo hata kwenye rada husomeki nikikutafta google sikuoni nimejitahid kukuzoom naona kiza tu kanisajiliiiiiii mkumbo gani halaf unaonekana una kibamia wewe manake mbish sana huna lolote nshasema wewe ngoma ako haikeshi halaf huu mziki mzito hapana sogelea hapa

kibamia ndo nini??
Ngoma haikeshi mi sina ngoma yoyote ile!
 
Ahhha nani kakremu sasa kat yangu na yako naona napigizana na kelele n mbuzi ale majani huku nampigia mnanda ila waaapi mbuz kaz ake kutingisha mkia hayumooo ndo hata wewe ulivo.humoooooooo kabisa yan.humo we bado mgeni mana kamba mguun naiona watu mmekaa mnakrem.et waganga siku hiz ndo.walipoona kwa mganga ndo suluhisho la kumtuliza mwanaume kwa taarifa tu mwanamke yeye tosha ni limbwata sasa kulitumia n.akili yako hao wanaikwenda huko hawana ujuzi

nini maana ya kukrem??
Limbwat linapatikana kwan wataalamu tu!
 
Hahaha hawa wanaongelea wanyaki wa huko ileje...wamesahau tupo tumetulia tunachek wanavyotapatapa na povu kuwatoka...aiiiiiii.na sie twaweza bwana....tena skuiz ni mwendo wa uportable tu

umetisha... Ukija mbeya ntafute nikupe zawadi yako
 
Back
Top Bottom