Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Mbeya mapenzi kwa wanyakyusa, wasafwa, wamalila,wandali au wabungu wa chunya hakuna kitu hapo heshima nyingi mbele za watu za kuigiza lakin hamna kitu
Miaka 20 mbeya nawajua a to z lakini ukizubaa wamekuondoa /kifo kwao mwanamke ndo mtawala, usisahau umalaya kwa hawa hasa wanyakyusa kwa kuwatazama watoto mashaallah ila ndani mh wamejaa kila sehemu mpaka nanii, mwakaata, ughonile,

pole sana miaka 20... Ulikuwa unajifunza makabira tu ya mbeya... Mi miaka mitano nimejifunza mapenzi tu!
 
hivi kisosi c cha barid jaman sasa hiyo raha iko wapi? hakuna aliezaliwa anajua mapenz nijuavyo mm mapenz ni ubunifu ujue sehem zinazoleta ashk za mwenzio, mapenz hayataki papara wala haraka, pia mtoto wa kike shurt ajue kujishughulisha pale kati na kulalamika kwa raha na sauti nzuri ya kuongeza utam, bila kusahau usafi zaid kwa nn usinoge hata kama ww ni mchaga mwenzangu lazima wakugande!!

umetish mkuu!
 
umekrem... Unaishi kwa kufuata mkumbo

Unaonesha ulivo hata kwenye rada husomeki nikikutafta google sikuoni nimejitahid kukuzoom naona kiza tu kanisajiliiiiiii mkumbo gani halaf unaonekana una kibamia wewe manake mbish sana huna lolote nshasema wewe ngoma ako haikeshi halaf huu mziki mzito hapana sogelea hapa
 
watanga mnalo hilo... Kiwanda-mganga

Ahhha nani kakremu sasa kat yangu na yako naona napigizana na kelele n mbuzi ale majani huku nampigia mnanda ila waaapi mbuz kaz ake kutingisha mkia hayumooo ndo hata wewe ulivo.humoooooooo kabisa yan.humo we bado mgeni mana kamba mguun naiona watu mmekaa mnakrem.et waganga siku hiz ndo.walipoona kwa mganga ndo suluhisho la kumtuliza mwanaume kwa taarifa tu mwanamke yeye tosha ni limbwata sasa kulitumia n.akili yako hao wanaikwenda huko hawana ujuzi
 
Back
Top Bottom