Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

hayo ndo mapenzi we unataka kufanya mapenzi huku una njaa... Mtakuja kufa vitandani!!

We sekta ya mapenzi ujui embu jinga taifa tu aisee ... nyie ndiyo wale mnagusa unakojoa mnasema umetiana mfyuuuuuu
 
Mwambie huyo asilete ujuaji mwingi

Kabisa we waache tu hawajui tofuati yetu sisi ukinifurahusha nakufurahisha .. tanga wao mda wowote wanatumikia aiiii.... mchaga mie ukiniboa natuliza kihoro nipe hela mie mood irudi
 
Hahahahaa jamani mnatuchamba wanyaki hahahah. Sisi hatuna muda wa kubembelezana. Tupo busy na shule+kulima mipunga. Mahaba peleka pwani, wao ndo kazi yao

Hahaha hawa wanaongelea wanyaki wa huko ileje...wamesahau tupo tumetulia tunachek wanavyotapatapa na povu kuwatoka...aiiiiiii.na sie twaweza bwana....tena skuiz ni mwendo wa uportable tu
 
Last edited by a moderator:
anabisha tu huyoo, kama mwanamke wa mbeya kamdatisha ivyo, anakuja a humu, akikutana na wakitanga atatamani dunia nzima ijue...

Na ndo ndivo ilivo kapata mmbea kamdatisha anahis mapenz mbeya "japo natokea tanga mapenzi.yalipozaliwa........" nimenukuu kutoka kwa mwana fa
 
Back
Top Bottom