suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Nachukua na kiroba kabisa cha kuboost steam
Mwambie bilo alete kwangu
Nachukua na kiroba kabisa cha kuboost steam
Wao kutwa kula vyakula vya mafuta ya viwandani toka Zambia ndiyo maana mishepu isiyoeleweka na minywele wanawake kama Essau...Ahhha huyu ni kidampa wao wamemtuma aje kushikilia usukani ila wapi bado kinda sanaaa mtoto little kwa taarifa yake tu tanga kwa mapish alhamdulillah wali naz mchuzi naz bado ugali naz na soon.utakuja
Wakati hata bei ya tofali hajui.....Wamepewa lifti tu na breki wanataka wafunge wao!Ahhha wayajulie wapi hawa ni sawa na wapangaji kutaka kuleta amri kwa mwenye nyumba
Wao kutwa kula vyakula vya mafuta ya viwandani toka Zambia ndiyo maana mishepu isiyoeleweka na minywele wanawake kama Essau...
Narudia tena ukiona mwanamke mrembo, anayeyajua mambo Mbeya huyo si mzawa, nimeishi mkoa huo miaka 5 na mimi kwa taarifa yao ni mtu wa viwanja. Nimetaja baadhi ya maeneo maarufu hapo Mbeya mjini katika moja ya nyuzi zangu, hao wote wanaoshabikia mademu wa mbeya watoe ushahidi wao wadau wafunguke humu..
Wakati hata bei ya tofali hajui.....Wamepewa lifti tu na breki wanataka wafunge wao!
Hakuna cha kabila wala nini zama hizi katika suala la mapenzi. Juzi juzi nimetafuna mtoto mmoja wa Kichagga anakata viuno balaa. Sikuamini kabisa.
Umeuwa ukazika na matanga umeanua mama hatarudia tena huyo....Ahhha pole yako hua sinaga timevya kukaa chini na kujibizana skia sawa usione ukadhan.tunababaikia mapenz tu tumesoma.wengine mapenz tunayo.tunajua kuyahandle kwa taarifa rejea kauli yangu mwanamke tosha n.limbwat sasa jinsi.ya kulitumia bib n.akili.ako hao.walioachika.n.wao wenyewe mie alokuambia nimeachika nan maana.unaongea kama mwenyekiti wa mtaa au kungwi langu inahu kapashe chai unywe
watayajulia wapi hayo....mbeya wanasemaga niangusage tuu sambi sako!Wakati wa kujivinjari mwanaume nikisikia alarm ya gari langu inalia sina haja ya kuacha kipute kuangalia usalama wake, Hubby wangu ananiinua kwa kiuno chake tu wakati huo mimi naendelea kutwanga na kupepeta mpaka usawa wa dirisha nikiridhika na usalama wa gari ananirudisha chini taratiiibu mpaka usawa wa bahari tunaliendeleza.....
Wafuga ndevu wanayajua hayoo?......
Umenikumbusha kale ka wimbo kao, "gwe jalile gwe jalileeeee......" wakitoka hapo "niagieni niagieni" kwa kupamia fani wasioijua vizuri ndiyo maana baada ya Makete wanafuatia wao. Hahahahaaaaa......Ahhhhha wana jipya gani kaz yao kulia misibani
watayajulia wapi hayo....mbeya wanasemaga niangusage tuu sambi sako!
Umenikumbusha kale ka wimbo kao, "gwe jalile gwe jalileeeee......" wakitoka hapo "niagieni niagieni" kwa kupamia fani wasioijua vizuri ndiyo maana baada ya Makete wanafuatia wao. Hahahahaaaaa......
Ahhha pole yako hua sinaga timevya kukaa chini na kujibizana skia sawa usione ukadhan.tunababaikia mapenz tu tumesoma.wengine mapenz tunayo.tunajua kuyahandle kwa taarifa rejea kauli yangu mwanamke tosha n.limbwat sasa jinsi.ya kulitumia bib n.akili.ako hao.walioachika.n.wao wenyewe mie alokuambia nimeachika nan maana.unaongea kama mwenyekiti wa mtaa au kungwi langu inahu kapashe chai unywe
Umeuwa ukazika na matanga umeanua mama hatarudia tena huyo....
we cheka tu mama, maana wanawake wa mbeya wanachekesha sana....Ahhhhahhha nachekaje
Hahahahahahah...kumbe unajibizana sikujua.na kujibizana pia mnajua hongera...kwani nani hajasoma mama hahahahaha..usinambie elimu nayo ni tanga tuuu...hahahaha nicheke mie...hakuna jipya...
Kwa kuwa umekiri wewe ni Mmbeya naomba kutoa hoja....
we cheka tu mama, maana wanawake wa mbeya wanachekesha sana....