inategemeana na mahusiano yenu, labda rafiki, dada, mama, au mpitaji,, ila wadada kulala wamewekeana miguu sio shida zaoHivi nyinyi mkilala jinsia yenu, mnalala vichwa mmeweka sehemu 1?
Binafsi, ikitokea tumelala wanaume tupu.. basi huyu kichwa akiweka kaskazini, huyu kichwa kusini
Asantepole😅 jamn
Ptuu, adi nimejisikia kinyaa!Kunuka ni nnje nnje , bila kuoga mara mbili kwa siku siwezi jisikia vizuri , na ubaya wa harufu mtoaji hauwezi isikia , ila kiukweli watu wengi wananuka, sio masikio vikwapa na mapua , na wengi wanazunguka na chembechembe za mapupu bila kujua wanatema vibaya mno
Huku kiumeni haiwezekani mlale, vichwa vinatizamanainategemeana na mahusiano yenu, labda rafiki, dada, mama, au mpitaji,, ila wadada kulala wamewekeana miguu sio shida zao
Kila muda binadamu ni mchafu.Kuoga ni kuondoa uchafu kama hujachafuka unasafisha nini?
Haya sawaHili halikwepeki kuna mazingira yanatokea mnalala mchongoma fresh tu..
poleni kwani mkilala hivyo jinsia huwa zinabadilika au nini hutokea?Huku kiumeni haiwezekani mlale, vichwa vinatizamana
Ogeni jamani heh🤣Kuoga ni kuondoa uchafu kama hujachafuka unasafisha nini?
Kitu ukishakuwa na mazoea nacho kuna namna kinakutengeneza kisaikolojia, hata ukifika Njombe ukawa unashinda ndani unaweza kutaka kuoga kila sikuYoda
Kuna faida sana kwenye kuoga
Kwangu mimi nikimaliza kuoga najihisi mwepesi sana nakua na amani sana
kuna hisia fulani napata wakati wa kuoga na hata nikimaliza
Zaidi nakua comfortable 👌
KIUME haiwezekani tu,poleni kwani mkilala hivyo jinsia huwa zinabadilika au nini hutokea?
Hapajachafuka, tuoge ili iweje? 🤣Ogeni jamani heh🤣
Hamna bwana, asubuhi unaoga vizuri, usiku unajimwagia maji tu.Itakuwa wanaoga usiku wakirudi, kama hujafanya ngono usiku hakuna haja ya kuoga asubuhi.
elezea vizuri khs hizo chembechembeKisayansi kila siku na kila muda cells za skin membrene zinakufa ujue!
Tunachokisugua na dodoki kukiondoa kwenye ngozi kama uchafu wakati wa kuoga %kubwa ni chembe chembe za ngozi mfu na jasho kwa %kidogo.
Hata usipotoa jasho kwa kazi lakini ni lazima mwili wako utachafuka tu.
Hivyo kuoga kila siku si hitaji la hiyari la mchafukoge, bali ni hitaji la lazima la binadamu ili kuuweka mwili wake katika hali ya siha.
Ni kweli hata nikienda moshi msimu wa baridi nitapasha maji niogeKitu ukishakuwa na mazoea nacho kuna namna kinakutengeneza kisaikolojia, hata ukifika Njombe ukawa unashinda ndani unaweza kutaka kuoga kila siku
Mtu kutwa unashinda k/koo then hutaki kuoga una wazimu 🤣Hapajachafuka, tuoge ili iweje? 🤣
Inategemea unaoga kimwili au kirohoKila muda binadamu ni mchafu.
Utaogaje kuna ile harufu ya asili ni muhimu sana kwenye ubongoOgeni jamani heh🤣