Sio kwa dongo hili!!

"Dongo" hapana bali elimu yenye ushuhuda. Kikubwa siyo kulaumu au kujilaumu, "ukishajua basi hujachelewa"
Hivi unajua hata dongo ni elimu pia ila inayotolewa kwa njia ya kuumiza? Kwahiyo inategemea tu utaichukulia vipi, ukiichukulia positively inakujenga zaidi.
 
Hivi unajua hata dongo ni elimu pia ila inayotolewa kwa njia ya kuumiza? Kwahiyo inategemea tu utaichukulia vipi, ukiichukulia positively inakujenga zaidi.
Ewaaaa tuko mlemleee..... mbuzi wa mzee Ally kala mahindi ya mzee Ally
 
Back
Top Bottom