We weeeWacha we!! Kwahiyo mshajiwekea kabisa kuwa bila wanawake hamfanikiwi.
Sio bongo hiiRafiQ wa kike

Wacha we!! Adam had everthing only Eve was missing(i think you know whts that means right!!)We weee
Sio sisi asee ni maagizo ya Mungu.
Adam alikuwa mpweke sana ingawa alipewa miliki ya kila kitu, alipewa kila kimpasayo kukipata, lakini furaha yake haikuwepo aligubikwa na upweke
Mungu akagundua kuwa mwanamke ndio suluhisho la huyu adam.
Akamfanyia msaidizi, tatizo la wanawake wamesahau ama wanafanya makusudi asee, wamegeuza fedha ndio thamani ya mwanaume.
Catch FIRE!! Bosikarapapa!!Kwakweli mmetuamulia, duuuh! Hatupumui kila kona mmetukaba.
Wanawake nyinyi ni walezi wetu, vile mtuleavyo ndivyo tukuavyo.Wacha we!! Adam has everthing only Eve was missing(i think you know whts that means right!!)
Sio sisi tuliobadili hiyo thamani ni nature. Kwahiyo msibadili nature.
Basi kama mama alijitahidi wewe ndio umeharibu, shika sana maagizo ya mama. Unasema uliambiwa uwaheshimu wanawake wakati unatuita 'wadudu'. Acha basi wakufanyie vile wadudu hufanya na usilalamike.Wanawake nyinyi ni walezi wetu, vile mtuleavyo ndivyo tukuavyo.
Cha ajabu ninyi mama zetu wamejitahidi katika utoto, kuja kwenye malezi ya ukubwani mntupoteza,
Wakati nakuwa mama alinifundisha nimuheshim sana mwanamke
Sasa kesi imekuja iheshimu sana hela yako, ili wanawake waiheshimu.
Hivi mama si alinifaulisha?? Kanipandisha gari lingine hafu derva ananitoza naulli nyingineBasi kama mama alijitahidi wewe ndio umeharibu, shika sana maagizo ya mama. Unasema uliambiwa uwaheshimu wanawake wakati unatuita 'wadudu'. Acha basi wakufanyie vile wadudu hufanya na usilalamike.
Siku zote biashara inshamiri pale ambapo kuna demand, the higher the demand the higher the supply.Hivi mama si alinifaulisha?? Kanipandisha gari lingine hafu derva ananitoza naulli nyingine
Huwa najiuliza hivi na mama aliwahi kuwa msichana?? Na Je baba nae alihangaika hivi??
Siwezi kuongea na msichana asubuhi jioni akanihamishia majukum![]()
![]()
![]()
Yani tumepeana namba tuuu jioni unahamishia majukumu ya mzazi wake, je nikioa??
Mwanamke wa siku hizi
Kuwa nae inakubidi uwekeze kwake, yani mwili wake sasa hivi umekuwa benki, tatizo hamna ATM eti ni mapenzi
Mwili kwa siku ukiwa kwao unaghalamiwa, zaidi ya kile unachotakiwa kujiwekea
Tunatanguliza mahitaji ya mawazo ya kichwa cha chini hilo tunalijuaSiku zote biashara inshamiri pale ambapo kuna demand, the higher the demand the higher the supply.
Wanaume wa siku hizi mjitathmini wapi mmeteleza, muache kulialua.
Wewe si ukatae na useme mkutane kwao?Tunatanguliza mahitaji ya mawazo ya kichwa cha chini hilo tunalijua
Lakini akili yetu iko juu ya mikono yenu.
Nakuomba kukutana na wewe,, badala uniambie nikutane na wewe kwenu wewe unaniambia nikutane na wewe hotelini tena unaniambia nichague chumba chenye self konteinidi, hafu unakuja nusu uchi unafikiri kichwa chanu kitafikiriaje??
Jamani tuwe tunahurumiana, mnataka mniongoze kwa kichwa cha chini, mimi nikuongoze kwa kichwa cha juu
Haiwezekani, na aliyeishi bila mke ilifahamika na kugundulika kuwa ana matatizo. Na alikumbwa na matatizoNawaza tu wanaume bila wanawake mtaishije?
Ntakataaje sasa!!Wewe si ukatae na useme mkutane kwao?
Huyu ndiye aliyekabidhiwa majukumu ya kuniongoza baada ya mama yangu,