Kumbe sio Kasulu tuu kwenye udongo mwekundu, Kiteto wanasa kwenye tope zito. Wamlilia Rais Samia awajengee barabara

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,849
Wakati Rais anasema aweke tozo ya 💯 Kwa Ajili ya kujenga Barabara watu walimbeza na kumuona anawaongezea gharama za maisha hasa watu wa Mjini huko Dar is Slum.

Lakini Kwa bahati mbaya na Kwa ujinga na watu wa Mikoani huko Mawilayani wakawa wanaimba wimbo wa watu wa Mjini wakati shida za Barabara ni za Vijijini sio mjini.

Wenzao wa town tumafuriko.kidogo tuu Makelele TV zote na wanasaisiwa ila nyie wa Vijijini Sasa ngoja muone moto ,mtaimba Kila wimbo ila ndio hivyo subirieni Bajeti.

Hapa Sasa ndio pakuwaitaga kina Mbowe wawasaidie 🤪🤪


View: https://youtu.be/9W3D4Xr2PVc?si=HERwx--tlD2sNKKA

My Take
Dongo Jekundu sio Kasulu pekee huko Kiteto ni balaa
 
Back
Top Bottom