hahahaa, haponi mtu hapoNyie ni zaidi yetu wakuu maana kila kona madongo hadi marema kachukua mikoba ya STUNTER unategemea mtapona kweli![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana, ni dhambi kwa MunguKwanini lakini?
We honga tu.
Vyote ni dhambi, wa kumgegeda ni mke tuKumhudumia mpenzi wako ni dhambi ila kumgegeda sio dhambi???
Tatizo wa kumuoa ndio hayupo...nawewe hunitaki pia.Kwahiyo suburi uoe.
AmenYupo aliewekwa kwaajili yako, ingia gotini.

Just interested with your posts, nothing serious, kuwa na amani espyYaani wewe umefukunyua nyuzi angu zooote!! Wht are you up to![]()
![]()
HakikaHahahaaa!! Sio hivyo bwana, kaujumbe kametulia kwakweli, ukikasoma ukiwa umetulia haki unapata kitu.