Sio kwa dongo hili!!

Sio kwa dongo hili!!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chaaah!! Kweli kazi tunayo mama, wengine wanakunywa mifuko 8 ya simenti kupitia savah!! RRONDO katuchoka!!
Hahaha nimekumbuka ile story ya mdada alolalamika yeye anahongwa tu pilsner ice 3 mweee.
 
Wanawake wanatudumaza akili kweli yani ukiamka asubuhi unaanza fikiria leo nimwandalie buku 3 ya bando,hela za soseji soseji na baga,kilevi,apo ukitaka mzigo uandae pesa ya lodge kuja gheto hawatakagi eti hawafeel comfortable yani mapicha picha tu huwezi pata mtu akakwambia hata ununue kakiwanja ujenge wao kufuatiloa latest smartphones tu na misuko mipya ya nywele mwisho wa siku km unakaa nyumba kodi laki mwenyewe utatafuta chumba cha elfu30 sinza
ivi na wewe ni me?
mabwaku
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani hiyo sala ingekuwa inasikika sijui tungeungua wangapi!! Wangebaki peke yao.
Na mimi jamani mbona unanisahau [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom