Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Tena mawili kama si matatu![]()
![]()
haki nimechekaa....wait kwa hiyo unataka kusema mimi nimekula li mansion la kaka yako?
Tena mawili kama si matatu![]()
![]()
haki nimechekaa....wait kwa hiyo unataka kusema mimi nimekula li mansion la kaka yako?
Mhhhh au ni wewe mwenyewe usisingizie watu
hahaha, wamemlia hela zake sana nini? mbona ilo lalamiko limetoka moyoni.
hahaha, wamemlia hela zake sana nini? mbona ilo lalamiko limetoka moyoni.
You come from my urine
haha Huyo dada I guess ni chief pizza eating bandit. sion kwa hilo jibu khaaaaaView attachment 473823
Hahah!, asee kuna ma feminists na ma FEMINISTS.
espy na Heaven Sent
Naomba jibu, suppose hii message unampa mtu kama kaka zetu wakina mwafulani patakalika kweli?
haha Huyo dada I guess ni chief pizza eating bandit. sion kwa hilo jibu khaaaaa