Sio kwa dongo hili!!

Wanawake wanatudumaza akili kweli yani ukiamka asubuhi unaanza fikiria leo nimwandalie buku 3 ya bando,hela za soseji soseji na baga,kilevi,apo ukitaka mzigo uandae pesa ya lodge kuja gheto hawatakagi eti hawafeel comfortable yani mapicha picha tu huwezi pata mtu akakwambia hata ununue kakiwanja ujenge wao kufuatiloa latest smartphones tu na misuko mipya ya nywele mwisho wa siku km unakaa nyumba kodi laki mwenyewe utatafuta chumba cha elfu30 sinza
 
Mmmh!! Kwa kutusingizia tu hamjambo jamani!!
Hivi ni kweli kabisa kuwa nyie kujiongeza haiwezekani kabisa hadi upate boost ya mwanamke!
 
Kuna msemo wa kiingereza kwa kiswahili unamaanisha nyuma ya mafanikio ya mwanaume,kuna mwanamke lkn siku hizi kufeli kwa mwanaume kuna mwanamke nyuma yake,
Then mbaya zaidi siku hizi wanaenda hata kwa waganga wa kienyeji kuhakikisha kidume hachomoki kwa namna yoyote ile hata km huna pesa unajikuta unakopa kopa tena madau ya ajabu ajabu tu ili utimize mahitaji ya demu tu
 
Wacha we! Kumbe bila sisi hamfanikiwi!!
 
Mamayangu. Mfuko wa Cement SA ni zaidi ya elfu 20!? Wajuzi tuambieni, mfuko wa Cement SA una uzito gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom