Asante mpendwa wanguOooh!! Pole mama.

Heshima yako mkuuivi na wewe ni me?
mabwaku
"Dongo" hapana bali elimu yenye ushuhuda. Kikubwa siyo kulaumu au kujilaumu, "ukishajua basi hujachelewa"![]()
![]()
![]()
![]()
We hili dongo linachoma hata mimi ningekununia kwa muda nikifikiria mifuko mingapi ya simenti nishakula.
Eheeeee nadhani amekuelewa kama ni mwanaume, ila kama ni mvulana basi endelea kutwanga maji kwenye kinubtw
ID yako na avatar yako
😕😕😕😕

Anune tu ila najua atafanyia kazi hili dongo"![]()
![]()
![]()
![]()
We hili dongo linachoma hata mimi ningekununia kwa muda nikifikiria mifuko mingapi ya simenti nishakula.

Halafu wewe....Na mimi jamani mbona unanisahau![]()
![]()
![]()
Nini tena....... umekula ghorofa?Asante mpendwa wangu![]()
Yaaah thread inaelewekaHii ni chibhoko
Anapenda kula kuliko kitu chochote yani lunch tu anasahau kila kitu...ila hili dongo lazma azingatie message deliveryAnapenda nini umfanyie surprise.
Eeh kuna watu wanashindwa kuplan mansions kisa kula kwenuI like this mkuu, plans tena basi makubwa.
Haha anaua "dreams"![]()
![]()
![]()
![]()
Tena huyu ndio mbaya zaidi, maana hata msingi hautokaa ujengwe.
Abeeee mwa-grassHalafu wewe....
Nimekumiss ati, em fanya kweliAbeeee mwa-grass