Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Project 2012 sio Fidel80
Kuoa nyie kazi wacha kabisa
Mkuu yaani bado nafikiria kama vp naweza nikasogeza mbele kabisa 2020 maana ukichelewa kurudi club mtu kanuna yaani we acha tu.
Project 2012 sio Fidel80
Kuoa nyie kazi wacha kabisa
Mmmmhhh!!! ambao hamjaoa mmetukanwa na Dark City kwenye hii post yake, isomeni kwa makini
Mkuu yaani bado nafikiria kama vp naweza nikasogeza mbele kabisa 2020 maana ukichelewa kurudi club mtu kanuna yaani we acha tu.
Haa haa haaa! Nadhani kuna duration ambayo mkiishi pamoja (hadi kuzaa watoto) basi serikali inatambua kwamba hiyo ni ndoa halali. Kama wanasheria wamo humu watatufafanulia. Karibuni sana tujumuike!Nasita kukupa hongera.....unatafuta kero kuowa mazee, uliza waliowa wakuambie ukweli....naona wengi tunasepa hicho kipengele....kwanini msiishi pamoja tu....na hata watoto mkazaa kuliko kujivalisha pingu?
Hongera basi kwa kuwa wengi wamekuambia ila I have warned you with your decision in the first place
Mas
Kwa wale mlio Dar na wale ambao mngependa kushirikiana na mwenzetu...
Kuna mwenzetu (Sinkala) anatarajia kufunga ndoa mwezi huu.
Kwa wale ambao wangependa kushirikiana katika kuiwakilisha JF ama kushirikiana na mwenzetu katika hali na mali tuwasiliane via PM ili niwape mwongozo wa huyu mwenzetu.
Aidha unaweza kuwasiliana na Maxence via +255713444649.
JF itatoa zawadi yake katika harusi hii. Ushirikiano wenu unakaribishwa sana.
Haa haa haaa! Nadhani kuna duration ambayo mkiishi pamoja (hadi kuzaa watoto) basi serikali inatambua kwamba hiyo ni ndoa halali. Kama wanasheria wamo humu watatufafanulia. Karibuni sana tujumuike!
Mkuu yaani bado nafikiria kama vp naweza nikasogeza mbele kabisa 2020 maana ukichelewa kurudi club mtu kanuna yaani we acha tu.
Mkuu Hongera!
Hii Club ya Ukapera watu wanaikimbia -sijui kwa nini!!
Fidel mmmmg uku mbali kaka unataka na wewe ukao bungeni kama hawa waheshimiwa wetu. 2012 is more suitable kaka, dont change please, ukioa wewe tu na mimi nakanyaga nyayo zako
Aisee kama mimi Masanilo harusi haipo kwenye mipango yangu kabisa, nitavuta kimy kimya, ndoa baadae, ila nasikia kuna mabinti wana presha hao, utafunga harusi tu taka husitake, ila njia rahisi ni kuweka mimba tuNapenda ndo za dizaini hii kwa kweli hakuna kupelekana kwa Mapriest na kujitesa na sherehe za usiku mmoja ambayo inakuachia damage ya mwaka mzima....
Hongera lakini!
hahahaha mkuu naogopa mzee kutangaza hadharani jamani mm ndo hivyo naoa maanake watoto wakali wakali nitawamiss wakikuta nao tu mazee vidole tu mzee yataka moyo.
Hapana mkuu, sijatukana mtu. Nimejitahidi kutumia uungwana wangu kumshauri mdogo wetu. Nimepata wasi wasi baada ya kuona baadhi ya wazee wanataka kumtisha na kumjenga hofu kuwa huku kwenye ndoa hakukaliki. Nimejaribu kuwa kungwi wa bure kwa kumwambia kuwa wale tusiofanya majaribio tunatesa sana. Natamani naye aonje huo uhondo tunaopata. Ni kutokuwa mchoyo tu. Sijatukana mtu ndugu yangu. But in case kuna aliyeguswa, I a very sorry. Ila ni kweli tunafaidi!
ukitoka mitaa ya home tu, unatia pete ya ndoa mfukoni, unabaki kuwa bachelor, unaenda zako mabibo hostel au IFM unatangaza uchumba unachukua kitu kitamu kama asali ya nyuki wadogo, mida ya kurudi home unachukua pete yako unatia kwa kidole unarudi kwa mamsapu na tabasamu
The opposite is also true! Ukiwahi kurudi kicheko, mpaka unapata desert ya usiku!
ila njia rahisi ni kuweka mimba tu
Naomba msamaha tu tena kwa unyenyekevu mkubwa, wanapenda kuombwa msamaha hao wacha kabisahahahaha dah mkuu akiwa na software akikushtukia balaaa mzee.
Aisee kama mimi Masanilo harusi haipo kwenye mipango yangu kabisa, nitavuta kimy kimya, ndoa baadae, ila nasikia kuna mabinti wana presha hao, utafunga harusi tu taka husitake, ila njia rahisi ni kuweka mimba tu
Naomba msamaha tu tena kwa unyenyekevu mkubwa, wanapenda kuombwa msamaha hao wacha kabisa