Sinkala (JF Member) kuoa karibuni!

Status
Not open for further replies.
Hongera sana Mkuu Sinkala.
Mungu akuongoze kwenye njia unayoelekea na wala usiogope milima kwani penye milima mingi pana miteremko mingi pia.

Hongera sana Sinkala!

All the best mkuu

Hata mkuu Tzengo mbona walio hivo kuna nini?

mkuu Tzengo hebu tabasamu vizuri bana huoni jamaa anatakafunga ndoa we sasa sijui unalia nini?
 
Mkuu we acha tu,kuna makubwa kwnye nchi yangu ndo yananiliza-ila acha tusiharibu thread, hongera tena mkubwa Sinkala.

hiyo avatar yako kila nikiitazam naangua kicheko...mmmmmmnh libaba lizima linalia ....
 
Hahahaha unajua wengi hatujui maana ya harusi na Ndoa hata akina Nyamayao,MJ1,Shishi,WOS,agika na wengineo.

Sasa nimekubali kwamba hata 2020 kwako itakuwa karibu muno. Unaweza kusogeza mbele kidogo hadi somo lipande!:rolleyes:
 
Last edited:
Mkuu, hapo mtakuwa mnaibariki ndoa na kufanya harusi na si kufunga ndoa braza!
Unajua ninapenda kufikia hatua kama hiyo ya kuwa mwili mmoja lakini daaaahh!Kumpata mtu sahihi katika kizazi hiki ndipo ninapoumia kichwa.Yaani kama nitampata mtu sahihi naingia nae mkataba baada ya kufanya feasibility study.Ila ninaamini hata hapa hapa JF naweza pata mtu vile!
Hata hivyo hongera Sinkala kwa kufungua ukurasa mpya,bado ni natafakari kama vp nafikiri tunaweza kuwa pamoja siku hiyo ya tukio.
 
ahongereke huyo sinkala (maana simfahamu). nilitangaza humu nami natafuta mchumba sijapata response ya maana. yaonyesha humu hakuna totoz.

Mzwanda inaonekana hukuwa serious umeongea na mwanajamii one lakini au unalalamika tu??
 
Unajua ninapenda kufikia hatua kama hiyo ya kuwa mwili mmoja lakini daaaahh!Kumpata mtu sahihi katika kizazi hiki ndipo ninapoumia kichwa.Yaani kama nitampata mtu sahihi naingia nae mkataba baada ya kufanya feasibility study.Ila ninaamini hata hapa hapa JF naweza pata mtu vile!
Hata hivyo hongera Sinkala kwa kufungua ukurasa mpya,bado ni natafakari kama vp nafikiri tunaweza kuwa pamoja siku hiyo ya tukio.

Kiu, are you serious? Unashindwa kupata totoz kule mtaani ambao unawaona kwa macho na kushuhudia wanavyovutia unakuja kutafuta kwenye PC screen? Kazi unayo kweli kweli. Kama sound inakupa shida sema tu. Naamini hata Sinkala atakuwa tayari kukusaidia. Lakini ukiendelea kusubiri kumpata hapa JF, basi hata Yesu anaweze kukutaba bado upo upo!!:rolleyes:
 
Hahahaha unajua wengi hatujui maana ya harusi na Ndoa hata akina Nyamayao,MJ1,Shishi,WOS,agika na wengineo.
weeee fide tulia hivyohivyo! weee hujui maana ya ndoa kwasababu si mwanandoa,subiri hiyo 2050 ukiwa unatembea kwa fimbo na mgongo umepinda.unaoa binti mdogo vijana wanakumegea.
Hongera kaka Sinkala!! mwaya japo kuna matamu na machungu, lakini naweza kukuhakikishia kitu kimoja mara nyingi machungu huwa ni choice ya mmoja kati yenu ila mkishirikiana mwaweza kuyaepuka hayo machungu. mawasiliano ,kuheshimiana na kujaliana ndio kinga kuu Mkulu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom