Sinkala (JF Member) kuoa karibuni!

Status
Not open for further replies.
Mhhhh hili nalo neno.
Lakini wakuu wa idala wanasema kujiexpress kwenye ndoa marufuku.

sasa kama gharama za kuoa na mahari ziko juu tutafanyaje?, tutakua tunabanjuka na vimeo tuu
 
Kwa wale mlio Dar na wale ambao mngependa kushirikiana na mwenzetu...

Kuna mwenzetu (Sinkala) anatarajia kufunga ndoa mwezi huu.

Kwa wale ambao wangependa kushirikiana katika kuiwakilisha JF ama kushirikiana na mwenzetu katika hali na mali tuwasiliane via PM ili niwape mwongozo wa huyu mwenzetu.

Aidha unaweza kuwasiliana na Maxence via +255713444649.

JF itatoa zawadi yake katika harusi hii. Ushirikiano wenu unakaribishwa sana.

Mkuu nimekusoma.
Nawasiliana na Maxence aje chukua nyongeza yangu.
 
Karibu sana katika kilabu hii murua.
Japo wanasema ooh ndoa ndoano,ngumu nk.
Usihofu wala nini,ingia ingia mwana.

Mungu na awatangulie kwa kila jambo la kheri.
 
Sinkala kaka hongera sana kwa uamuzi wako wa Busara. Mtangulize MUNGU katika maisha yako haya mapya. Muwe na masikilizano nadani ya ndoa, mheshimiane na muwe na upendo wa dhati. Nyumba ndogo na vidumu ziwe ni story tell kwenu na muwe mabalozi wazuri wa institution hii ili muweze kuirudisha hadhi yake na kuwahakikishia kina Fidel ambao hawana faith in it that Still It can be that little peradise on earth .........
 
sinkala kaka hongera sana kwa uamuzi wako wa busara. Mtangulize mungu katika maisha yako haya mapya. Muwe na masikilizano nadani ya ndoa, mheshimiane na muwe na upendo wa dhati. Nyumba ndogo na vidumu ziwe ni story tell kwenu na muwe mabalozi wazuri wa institution hii ili muweze kuirudisha hadhi yake na kuwahakikishia kina fidel ambao hawana faith in it that still it can be that little peradise on earth .........

amen....
 
sasa kama gharama za kuoa na mahari ziko juu tutafanyaje?, tutakua tunabanjuka na vimeo tuu

Ukipiga mimba basi hadhi ya harusi inashuka vile vile gharama za kuoa nazo zinashuka unakuwa umeua ndege 2 kwa jiwe moja.
 
Ukipiga mimba basi hadhi ya harusi inashuka vile vile gharama za kuoa nazo zinashuka unakuwa umeua ndege 2 kwa jiwe moja.

mkuu unamahesabu makali!.
ukishamtundika mimba mzazi anakua mpole, unaweza hata kupewa mwanamke bure kabisa, coz tayari anakua used sio new au brand new
 
Invisible,
Mnatoa muda mfupi mno wa kutushirikisha kwenye mambo muhimu kama haya ya kijamii. Jitahidi kuwa mnatuarifu mapema ili tujipange vizuri. Vinginevyo tutaishia kutoa hongera kwenye mtandao tu. Hata hivyo ngoja tuone tutamudu lipi kwa sasa.
 
kuwahakikishia kina Fidel ambao hawana faith in it that Still It can be that little peradise on earth .........

Na mimi nakuhakikishia kwenye ndoa yangu wewe utakuwa mama mlezi.
Hivi mwanamke akiwa amesha zaa mnafunga ndoa au harusi?
Je na hii tabia ya siku hizi watu kupiga mimba kwanza ndo wanafunga harusi inaruhusiwa? Utakuta bi harusi kitumbo huko mbele pale.
 
Big up Sinkala.

Bila shaka janvi hili litakuwa limechangia kufikia uamuzi wako ambao naamini ni wa busara. Angalia usichukue yote insitu maana wengine walikuwa wanashabikia hata TiGo. Watch out?
 
Mkuu nimekusoma.
Nawasiliana na Maxence aje chukua nyongeza yangu.
Duh,

Okay mkuu, sipatikani kwenye mobile niko location ambapo mawasiliano ni shida sana (mikoani). Unaweza kunipata kwa email nami nitamtuma mtu aje kuuchukua mchango na kumfikishia mkuu Sinkala.

Kwa wale walio Dar na wangependa kushirikiana na mwenzetu ili siku ya tukio tumpe kampani basi tuwasiliane. Nitakuwa hewani kwenye mobile baadae leo hivyo hata sms nitazijibu.

Nimeshapokea michango ya wakuu wawili (Fidel80 na Geoff).
 
Na mimi nakuhakikishia kwenye ndoa yangu wewe utakuwa mama mlezi.
Hivi mwanamke akiwa amesha zaa mnafunga ndoa au harusi?
Je na hii tabia ya siku hizi watu kupiga mimba kwanza ndo wanafunga harusi inaruhusiwa? Utakuta bi harusi kitumbo huko mbele pale.

mkuu NDOA ni ile hali ya kuunganishwa kanisani/msikitini/bomani na HARUSI ni sherehe au shamrashamra zifuatazo baada ya ndoa!!.
 
Hongera sana Mkuu Sinkala.
Mungu akuongoze kwenye njia unayoelekea na wala usiogope milima kwani penye milima mingi pana miteremko mingi pia.
 
Na mimi nakuhakikishia kwenye ndoa yangu wewe utakuwa mama mlezi.
Hivi mwanamke akiwa amesha zaa mnafunga ndoa au harusi?
Je na hii tabia ya siku hizi watu kupiga mimba kwanza ndo wanafunga harusi inaruhusiwa? Utakuta bi harusi kitumbo huko mbele pale.

Mkuu, hapo mtakuwa mnaibariki ndoa na kufanya harusi na si kufunga ndoa braza!
 
Ukipiga mimba basi hadhi ya harusi inashuka vile vile gharama za kuoa nazo zinashuka unakuwa umeua ndege 2 kwa jiwe moja.

wacha akupotosha wenzako we!!! Sinkala way to go!!! am following closely!
 
Nimeshapokea michango ya wakuu wawili (Fidel80 na Geoff).

Unajua mkuu kuna watu hapa walikuwa hawaamini kama naweza changia harusi mimi tayari muda si mrefu nitaongeza dau tena jamani changamoto hizi leo kwa Sinkala kesho kwa Yo Yo hata kwa Nyani Ngabu Jubilei tutamchangia tu.
 
Hongera sana Mkuu Sinkala.
Mungu akuongoze kwenye njia unayoelekea na wala usiogope milima kwani penye milima mingi pana miteremko mingi pia.

Hongera sana Sinkala!

All the best mkuu

Haya mkuu Tzengo mbona walio hivo kuna nini?
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom