Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Masingo maza wanazidi kuwa wengi huku wakijifanya kuwakaushia wazazi wenza kwamba hawataki misaada yao kwa watoto, Ni upumbavu tu singo mama kukataa msaada wa baba mtoto huku ukimtwisha mzigo fala ndiye agharamikie matunzo ya mtoto wakati baba yake yuko hai
 
Mwaka 2019 nilikuwa na date SM halafu amenizidi umri. Katika harakati za hapa na pale nakuja kuambiwa nitume hela ya gesi mtungi mkubwa wakati huo geto natumia mtungi mdogo. Nikasema hiki kikombe kiniepuke.
bado hujasema! :Agakakskagesh:
 

Attachments

  • FB_IMG_1779689135925.jpg
    FB_IMG_1779689135925.jpg
    59.1 KB · Views: 14
Nisiwe mnafiki, Kwa wastani wa hicho kipato hutoboi and probably mtaachana, mwenzako wa Halmashauri alikuwa anatafuta sababu Tu aachane na huyo binti, Kulea familia si Jambo la masikhara hata kidogo vijana, Kulipa Ada inaweza isiwe ishu, ishu ni namna ya kulipa Bills zitakazo wafanya muwe hai na muishi kama Binadamu, kumbuka wastani wa 15K Kwa siku inahitaji ujibane Sana na kujikana nafsi hasa kama ni mijini, Kwa Ada Tu ya huyo mtoto inaonekana huyo binti anapenda maisha Fulani hivi sexy & Classy wakati uwezo wake hauruhusu....Angalia usije ukawa wewe ni Hifadhi ya wanyama pori
 
Back
Top Bottom