• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

kufumaniwa

 1. A

  Uliwahi kufumaniwa

  Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninaishi na mwanamke ambae tumepanga kuoana na kufunga ndoa. Nilipokutana na mwezangu nilikuwa nafanya kazi serikalini kwa mkataba. Kipindi chote hicho tuliishi vizuri tu japo palikuwa na changamoto mija ikiwa mimi tayali nina watoto wawili amboa mwanzoni...
 2. T

  Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyo okoka

  Binafsi mimi nimewahi kufumaniwa kama mara mbili hivi, mara ya kwanza niliopoa kadem kalikokuwa kanasoma chuo. Sasa siku moja ya Jumamosi wife yeye akiwa ameenda ofisini kwake nikakaita kaje nyumbani, alivyokuja nikamgegedea kwenye chumba cha housegirl, yeye pia hakuwepo. Mara paap! nasikia geti...
 3. DLRider

  Ushuhuda wa nilivyoumizwa na mpenzi wangu - NAWE ANDIKA WA KWAKO TAFADHALI

  Wote tumekuwa katika mapenzi. Kwa bahati mbaya mapenzi huwa yanaumiza na watu tunaumia sana hadi baadaye ndio hayo maumive yanatupa mafundisho. Tusaidiane kwa kuandika visa mbalimbali vya tulivyoumizwa na wapenzi wetu. Mimi Nitaanza: Mwaka juzi nilimpenda sana mdada mmoja Arusha. Tukawa na...
Top