Ajiua baada ya kufumaniwa akichepuka

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
MKAZI wa Kijiji cha Gininga wilayani Busega mkoani Simiyu, Luli Shibone (29) amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu wa mazao iitwayo Celphos, baada ya mume wake kupekua simu wakati akiwa amelala usiku na kubaini mawasiliano kati yake na mwanaume mwingine.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na amesema Jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha Luli Shibone ambaye amejiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu.
 
Moderator kijiji ni Gininiga
 
Sasa yule Jamaa aliepost "Narudia tena Acheni Unzinzi" ndipo ataeleweka zaidi tofauti mwanzo ambapo kulikua hakuna mfano hai
 
baada ya mume wake kupekua simu wakati akiwa amelala usiku na kubaini mawasiliano kati yake na mwanaume mwingine.
Sasa unajiuaje? Hilo suala mboni linazungumzika au alikua anachat madudu humo kwenye simu yake? Kwanini akupiga lock?

Siku hizi Simu zinaua Sumu zinasingiziwa tu huyo cephos isingetumika kwa matumizi hayo ya kujinyofoa uhai km Simu isingehusika

Gusa simu yangu ufe
 
Jina la hiyo sehemu linataka kuendana na la yule billionaire Genius Ginimbi. Marehem alikuwa na msongo wa mawazo
 
Back
Top Bottom