Harald Dad
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 353
- 263
Shunie look black before you live think twice dearJaman umeongea mpaka nimejisikia vibaya unarudi wapi tena Harald
Shunie look black before you live think twice dearJaman umeongea mpaka nimejisikia vibaya unarudi wapi tena Harald
Duhnilianza kupona ugonjwa wangu kwa story hii ya shunie lakini sasa toka imeisha unanirudia tena ugonjwa tena kwa kasi ya ajabu
Wanawake wa dar wanaogopa kuku[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan me nimuoga kwanza sitaweza kumbeba
Arusha mama maeneo ya USA-River,Arumeru!Tuombe uzima tufikishe huo mwezi unatokea mkoa gani
Shunie, mbona Tantaw kapotea humu kulikoni?Usijal tantaw
Shunie look black before you live think twice dear
Jaman [emoji4][emoji4]Kwenye upweke tena nikuzoea shunie hapa palikuwa kama nyumbani nilifanya hii story kuwa kama mtu wangu wa karibu yaan kama mama au mke wa kunifariji so narudi tena kwenye upweke na msongo wa mawazo rudi tena shunie! Rudi mama.
Yeah nimeisoma nimeimalizaKwahiyo umeshaimaliza