SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

Nimekuta tu screen ina scratch scratch mara paaaah!!! Kimyaaaaa!;
Shunie nibonyeze kitufe gani ili movie iendeleee?
 
Shukrani sana shunie mola akupe afya njema uje na kitu kipya siku za usoni
Santeeee nimeenjoy kwa kweli. Be blessed
Shunie ahsante sanaaaaaaaa
hakika tumetendewa haki ktk simulizi hii,ubarikiwe Mamie
Bibie shukurani nyingi kwako mpera mpera kama huu ndio watakiwa.
oooh! Shunie thanks a lot dear, hadithi ilnoga mno be blessed kwa kutokuwa mchoyo.
Umetisha sana
Bibie Shunie...shukrani....tafadhali fanya mchakato wa burudani nyingine.
Hongera shunie
nashukuru shunie kwa kushare nasi simulizi hii ya kusisimua.pale utakapopata nyingine husisite kutushirikisha wadau tupunguze stress za kila siku.waswahili husema kizuri kula na nduguyo..am out[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Shunie umemaliza mama.Umekuwa muaminifu kuleta story mpaka mwisho .Hongera sana na asante.
Hapana ndio inaanza!!

Shunie ahsante sana, tulikua pamoja kutoka mwanzo hadi tamati!!
Hongera Dada,,let's kingine kama kipo
[emoji120][emoji120][emoji120]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom