SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
157,400
Reaction score
465,167
Katika karne za enzi zile, zile zamani kabisa, kitu cha thamani kilikuwa ni aidha dhahabu ama silva. Kila himaya ilijivuna kwa wingi wa dhahabu zao, utawala imara na shibe za watu.

Si zaidi ya hapo.

Lakini je, nini kinatokea pale kinapojiri kitu cha thamani zaidi? Ndio. Yani cha thamani kushinda hizo dhahabu, hizo silva, shibe na tawala imara zikiunganishwa zote kwa pamoja?

Kitu cha kuwatoa watu mate. Cha kuwanyima usingizi. Cha kufanya vita baina ya himaya na himaya?

Na ubaya basi kitu hicho kiwe kinamilikiwa na mtu mmoja tu. Na endapo kikikanyaga kwenye kiganja cha mtu mwingine kikamwongoza kunyonya damu za watu, kuwa kubuhu wa ulozi?

Sijamaliza, na hicho kitu kiwepesi akapewa mwanamke kama zawadi. Hajui kuendana nalo. Hajui yaliyomo. Na hata hajui hao waliompatia kama zawadi wamekitoa wapi!

Na kwa wakati huo, akiwa ameshapewa majukumu ya kuongoza himaya kubwa huko Uajemi iitwayo Goshen. Himaya iliyopo kwenye uadui mkubwa na himaya ya Devonship, iongozwayo na dhalimu na mlozi makbuhu aitwaye Jayit mwenye kisasi cha damu na Goshen!

Jayit aliyefukuzwa na kwenda kuiinua himaya yake binafsi isiyokuchwa jua. Jayit mwenye haja ya kuiweka Goshen chini ya miguu yake, hayo akiyatekeleza endapo akirudi Goshen kuteka mifupa ya marehemu babu na bibi yake kaburini!

Nisikuchoshe, niazime muda wako ambao hautauujutia, nikupeleke zama hizo za kutumia jua kama majira na panga kama silaha.

Ni hapa ... hapa... mpaka mwishowe.
Tantaw steve Mollel husna muba Money Talk Gentries Tumosa dumejeuri mTz mweusi @koncho 77 carbamazepine Evarist Massawe kisukari na wengineo mambo ni motoooo [emoji91] [emoji91]
d7f4532f84dccba1d04f30411ecf8c0e.jpg
 
Maka akee miss u [emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio uzisubili hizo naleta hizo hizo
michi yu zaidi chunie wangu..[emoji8] [emoji8] [emoji8]

We jichanganye tu, utosi utawaka moto..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wao shunny hongera. Baada ya kuwa msomaji Wa kila hadithi.leo umeamua kutuletea.naisubiria.ila mambo ya arosto unayajua.fanya bampa to bampa.thanks in advance. Kabla ya vitu kuanza
 
Nani kakuteka lakini maka sio vizuri ujue ahahahh sipatii picha utosi wangu
Nipo ndugu yangu, aniteke nani na mie mikono mivululu kama donnie yen[emoji23] [emoji23]

Pilika pilika tu, najikuta sipati muda wa kutksha kutokea mtaa wetu uleee a.k.a mtaa pendwa, almaarufu mtaa wa 7.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom