ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,470
Heee kumbe amebatizwa kwa maji moto, hahahahahah TaterKabadili jina @Tenter kitu kama hiki ukuje huku unaitwa
haaaaaaaaaaaaaaa!!! kumbe sikujua sasa nikawaza umekuwaje mpendwa! nimefurahi sana kukuona una jina jipya.
haaaaaaaaaaaaaaa!!! kumbe sikujua sasa nikawaza umekuwaje mpendwa! nimefurahi sana kukuona una jina jipya.
[HASHTAG]#Shunie[/HASHTAG] dadaangu vp hbr za siku? Dadangu samahani sana muda mrefu nilikuwa naifuatilia hii hadithi yako tamu sana ya malkia wa Gosheni. Vp unaweza niambia ni namna gani naweza pata muendelezo wa hii hadithi? Ninaipenda sana hii nimekuwa kama teja i mean nipo tayari kugharamia iwe kwa kununua kitabu ama kuuziwa kwa njia ya whatsapp. Tafadhari nipe jibu nifanyaje ili niweze kupata muendelezo.
Sidhani mkuu. Naona kama kuna sehemu imekomea.Si ilifika mwisho?
Sidhani mkuu. Naona kama kuna sehemu imekomea.
Iliisha mkuu soma vizuriSidhani mkuu. Naona kama kuna sehemu imekomea.
Mkuu mm nakosea wapi? Mbona naona kama imeishia njiani! Ngoja niisome tena nikuambie ninapoona iliishia.Iliisha mkuu soma vizuri
SawaNgoja
Mkuu mm nakosea wapi? Mbona naona kama imeishia njiani! Ngoja niisome tena nikuambie ninapoona iliishia.
Mmh mbona iliisha yote hapa haina muendelezo[HASHTAG]#Shunie[/HASHTAG] dadaangu vp hbr za siku? Dadangu samahani sana muda mrefu nilikuwa naifuatilia hii hadithi yako tamu sana ya malkia wa Gosheni. Vp unaweza niambia ni namna gani naweza pata muendelezo wa hii hadithi? Ninaipenda sana hii nimekuwa kama teja i mean nipo tayari kugharamia iwe kwa kununua kitabu ama kuuziwa kwa njia ya whatsapp. Tafadhari nipe jibu nifanyaje ili niweze kupata muendelezo.
Si ilifika mwisho?
Sidhani mkuu. Naona kama kuna sehemu imekomea.
Poa Chief atakupa Majibu akija....
Shunie
Iliisha mkuu soma vizuri
Ngoja
Mkuu mm nakosea wapi? Mbona naona kama imeishia njiani! Ngoja niisome tena nikuambie ninapoona iliishia.
Iliisha hiyoSawa