Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,009
Very true shunie aisee nina principal kuwa sim yako ni yako sawa na yangu ni yangua kama nna shida ya kufanya upuuzi nawezaa kufanya na simu nmekuachia mezanumeona Bonny kama umemchoka mtu mnataka kuachana ndio muanze kuchunguzana ili umtafutie sababu