Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Amenena nini Ney. Kutokushika simu ? Huyu mzee ni mwoga anao wengi. Mimi simu yako sitakuwa na mipaka nayo nikitaka kuishika kama kuna haja naishika tena vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepapenda hapooo huyu mzee anao wengi
 
Mambo ya kushikiana cm ni ya nini Daby? Kujitia pressure tuu pasipo sababu ya msingi no one is perfect jamani, kwanini nishike cm yake niumie hali ya kuwa sina uwezo wa kumuacha wooiiiii naachana nayo.
Kila mtu na simu yake jamaan
 
Mama klaree. Simu yake lazima niishike. Siwezi kuishi na mwizi ndani au na usalama wa taifa huku sijui mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama klaree yupi sasa
 
Hamna cha kwamba kutoshika simu ya mwenzi wako kwamba ni ustaarabu. Ni upuuzi tu, hicho kifaa kina umuhimu gani zaidi ya ndoa/uhusiano.

Na hapa wanaume ndio tunafeli sana kuogopa kuwa na mamlaka. Kwangu as long as you are my woman nina uhuru na simu yako.
 
Mimi siogopi yangu kushikwa ila sitaki kushika yake
Natamani niandike sema mimi mvivu wa kuandika points. Ila nachokuambia ukiwa na mpenzi anayeficha ficha vitu mwogope saana na sio simu tu hata siri zingine.
 
Kwa hiyo tunaogopa kushika simu za wenza wetu kisa tunahofia kukuta madudu tusiyoweza kudeal nayo siyo? Naomba unijibu pulizzz
Hilo ni kubwa, ila kuna muda inawezekana isiwe hivyo ila mtu kwa pressure ukatafsiri tofauti, sasa kuepukana na hayo ni bora kila mtu asishike cm ya mwenzie
 
Nyie niwaache tu ila niwaachie wosia zamani tuliambiwa ukiona mtoto hataki kula kwa marafiki zake basi jua na yeye hataki marafiki zake wale kwao. Ujumbe huu uwafikie.

Mengine namwachia Mungu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nyie niwaache tu ila niwaachie wosia zamani tuliambiwa ukiona mtoto hataki kula kwa marafiki zake basi jua na yeye hataki marafiki zake wale kwao. Ujumbe huu uwafikie.

Mengine namwachia Mungu.
Hahhahh bamdogo kila mtu na simu yake ukiona hivyo juwa tunataka amani ya mioyo yetu halaf yameshatukuta kupekua pekua huku kumuacha mtu huwezi ya nini sasa
 
Back
Top Bottom