mapenzi na simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. naliwe

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama ulikuwa mbali na mkeo, katika kipindi hiki cha likizo fanya hivi

    December hii najua tulio wengi tupo nyumbani na familia zetu Nawajuza kama ulikua mbali na mkeo, chukua simu yake nenda kwenye blacklist. Angalia namba zilizopo huko Amini nakuambia utazikuta, baadhi itakua wanaomdai na zingine za wanaume wenzio Muwe na jumapili njema
  2. Shunie

    JamiiForums Tanzania Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

    Nimuamua kushare na nyie huu ujumbe nimekutana nao sehemu ili uwe na Amani ya moyo fanya hivi; ======= Kwa wanandoa na wenye wapenzi waaminifu, uaminifu limekuwa ni jambo la msingi sana ili udumu na huyo uliyeingia naye kwenye ndoa, mjengee imani kuwa wewe ni wake na haitatokea siku...
Back
Top Bottom