Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Mwanzo wa ndoa, au mahusiano unamshawasha sana uki mess up tu lazima ukauke au upate pressure na ulcers mwisho wa siku ukipuuzia unakua na amani ugomvi na kuchukiana kunajitenga na mahusiano yenu kila mtu anafanya yake
 
Katika vitu ambavyo siwezi kuvifanya ni kushika simu ya mwenzang,iliwahi kunikuta hadi mahusiano yetu yalikufa kabisaa, tena yy ndo alinambia ukiona simu inaita ipokee,lkn siku nmepokea nlijuta kuipokea,kiukweli sitasahau
 
Hahahaaa pole,mie nilikua nashika simu ya mwenzangu zamani lakini nikawa nakutana na maudhi kuuliza nashindwa nabaki na hasira kisirani mda wote. Nilivyojitathmini nakujiuliza hasa nataka kujua nini manake nafanyiwa kila kitu cha kunifurahisha na mwenzangu. Nikaamua sitogusa tena simu yake na ya kwangu nikatoa password,uwii nina raha tuna amani isiyo kifani
 
Amenena nini Ney. Kutokushika simu ? Huyu mzee ni mwoga anao wengi. Mimi simu yako sitakuwa na mipaka nayo nikitaka kuishika kama kuna haja naishika tena vizuri.
Mambo ya kushikiana cm ni ya nini Daby? Kujitia pressure tuu pasipo sababu ya msingi no one is perfect jamani, kwanini nishike cm yake niumie hali ya kuwa sina uwezo wa kumuacha wooiiiii naachana nayo.
 
Kwa hiyo tunaogopa kushika simu za wenza wetu kisa tunahofia kukuta madudu tusiyoweza kudeal nayo siyo? Naomba unijibu pulizzz
 
Katika vitu ambavyo siwezi kuvifanya ni kushika simu ya mwenzang,iliwahi kunikuta hadi mahusiano yetu yalikufa kabisaa, tena yy ndo alinambia ukiona simu inaita ipokee,lkn siku nmepokea nlijuta kuipokea,kiukweli sitasahau
haya mambo ni kuachana nayo tu
 
Back
Top Bottom