Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Tatizo wivu unatofautiana hasa pale unapopenda na uyo MTU hauko tayari kumpoteza kwa MTU mwingine yoyote,...kuna watu wana wivu sio wa dunia ii,anahisi anataka kupasuka ,yaan anawashwa mda wote,...bwahahahaha

Sio kuwashwa bana saa nyingine yanakuwa Mahaba hayo
 
Wanawake hamuwezi kuacha, trust me
hahah tunaacha ujue nini kila ukishika simu lazima ukutane na majanga utakutana na mapicha au text sasa ya nini hayo kila siku unakuwa unaumia tu mwisho unaamua kuachana nayo mwanzo inakuwa ngumu lakini ukizowea unajionea kawaida tu
 
Wacha watu wakague na kudhibiti Mali zao kama tulivyounda tume ya kuchunguza usafirishaji wa mchanga. Bila kuunda tume tusingejua tunaibiwa.

Nawapongeza sana wote wenye tabia ya kuchunguza simu za watu wao ili kuzuia kuibiwa.
 
Yes simu ni private item,usiiguse,usiipokee hata kama inakupigia kelele,just assume kuwa mwenzi wako HANA SIMU.
 
Wacha watu wakague na kudhibiti Mali zao kama tulivyounda tume ya kuchunguza usafirishaji wa mchanga. Bila kuunda tume tusingejua tunaibiwa.

Nawapongeza sana wote wenye tabia ya kuchunguza simu za watu wao ili kuzuia kuibiwa.
Mkuu unadhani kuchunguza ndio kuzuia kuibiwa. Watu wana mbinu mkuu achaa.
 
Back
Top Bottom