Pascal Mayalla ni msukuma mbona ana S series?Samsung ni S series na Note series hizo zingine achia wasukuma
Kwanini watuachie sisi hizo nyingine?Samsung ni S series na Note series hizo zingine achia wasukuma
Basi ndio maana, unajua tu Samsung na HuaweiHuawei
Ht km, yaani mwanaume kabisa eti nae ana macho 3 km wadada.. bora kidogo yale matoleo mengine...Simu ni simu tu inategemea una matumizi nayo yapi
Hamna foto zahizo Samsung mnazozungumzia muweke nisafishepo macho??